Vous avez cherché: msafara wa kenge mamba wapo (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

msafara wa kenge mamba wapo

Anglais

the crocodile caravan is there

Dernière mise à jour : 2024-05-09
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

msafara wa mafari

Anglais

presidential convoy

Dernière mise à jour : 2022-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

polisi hata hivyo waliwazuia kuukaribia msafara wa papa.

Anglais

police blocked the march from getting near the motorcade, however.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

polisi wakiwazuia wanaharakati kadhaa kuandamana karibu na msafara wa papa.

Anglais

police barred a group of activists from marching near the pope's motorcade.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

makundi ya haki za kijamii yalizuiwa na polisi kuukaribia msafara wa papa francis.

Anglais

human rights groups were blocked by the police from getting near the pope motorcade.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa hakika, wakati mtu mmoja alipoamua kuunyooshea kidole msafara wa rais, mtu yule alikamatwa na kunyanyaswa na wenye mamlaka.

Anglais

in fact, when someone dared finger the presidential convoy, this person was arrested and humiliated by the authorities.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kikundi cha wanaharakati kilichokuwa na mabango yanayopinga hali mbaya ya haki za kijamii nchini humo kinasema polisi waliwazuia kufanya maandamano mbele ya msafara wa papa.

Anglais

a group activists carrying signs for social justice says the police prevented it from staging a demonstration in sight of the pope's motorcade.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani.

Anglais

and they had breastplates, as it were breastplates of iron; and the sound of their wings was as the sound of chariots of many horses running to battle.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kundi la waasi linalojulikana kwa jina la flec na ambalo limedai kuhusika na shambulizi hilo lilieleza kwenye taarifa yake kwamba wao walikuwa wamelenga kushambulia msafara wa polisi na si timu ya wachezaji ya togo.

Anglais

flec, the rebel group which has claimed responsibility for the attack, indicated in a statement that the police envoy, and not the togolese players, were the target.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ukijulikana kama manilakbayan 2015, msafara wa watu ambao pia una lengo la kutafuta kuungwa mkono na jamii ya kimataifa katika kukomesha ukiukwaji wa haki za bianadamu unaofanywa na majeshi ya nchi dhidi ya jamii ya lumad.

Anglais

dubbed the manilakbayan 2015, the people’s caravan also seeks public support to end the human rights abuses committed by state forces against the lumad.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

timu ya taifa ya togo sasa imeondolewa rasmi kutoka kwenye mashindano ya kombe la mataifa ya afrika kufuatia shambulizi lililoelekezwa kwa msafara wa timu hiyo ijumaa iliyopita katika eneo la kabinda lililo nchini angola na ambalo liko kwenye ukanda wa mapigano baina ya vikosi vya serikali na vile vya waasi wanaotaka kujitenga.

Anglais

togo's national football team has been formally disqualified from the african cup of nations following friday's deadly attack on the team's convoy in cabinda, a region of angola long troubled by separatist violence.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

habari mpya ziliingia saa 7 gmt siku ya aprili 11, 2011: laurent gbagbo alikamatwa katika makazi yake ya cocody, pamoja na mkewe, simone, na msafara wa watu wa karibu.

Anglais

the breaking news came in at 1 pm gmt on april 11, 2011: laurent gbagbo was arrested at his residence in cocody, with his wife, simone, and close entourage.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,792,227,928 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK