Vous avez cherché: mswada wa marekebisho (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

mswada wa marekebisho

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

wachambuzi wanasema kuwa mswada wa sheria uliopendekezwa unaonekana kama hatua muhimu sana, lakini ambayo inaweza kuigawa zaidi somalia katika maeneo mawili yanayojitegemea au yenye aina fulani ya kujitegemea, na hata kufikia kuwa na majimbo madogo madogo.

Anglais

analysts say the proposed law is seemingly a milestone, but one that may fracture somalia further into autonomous and semi-autonomous regions as well as ministates.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mwezi julai tutakua tukizungumzia kwa mapana kabisa mambo yanayohusiana na uhamiaji: kutoka kwenye mswada wa uhamiaji ambao kwa sasa unajadiliwa katika bunge la marekani, hadi kwenye habari kuhusu safari ngumu na ndefu za wahamiaji kutoka kaskazini mwa amerika kupitia amerika ya kati hadi nchini mexico.

Anglais

in july we will be covering a wide range of issues related to migration: from the immigration bill that is currently being discussed in the united states congress, to the human stories behind migrants’ dangerous trek north through central america and mexico.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hakukuwa na elimu yoyote ya uraia ya kufafanua suala la muswada wa katiba pamoja na dhima ya sheria zilizopendekezwa na hii inamaanisha kuwa watu wengi hawana uhakika na yaliyomo (katika mswada wa katiba), wengi zaidi hawajawahi hata kuusikia mchakato wenyewe” yeye [hassan sheikh, kiongozi wa chama cha amani na maendeleo, ppd) alilieleza shirika la habari ya somalia.

Anglais

there wasn’t any civic education to put across the letter and spirit of the proposed laws and this means that most people are not comfortable with the contents, many more have not heard about the whole process,” he told somalia report.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,761,807,440 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK