Vous avez cherché: mvumuko wa bei (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

mvumuko wa bei

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

malaya wa bei nafuu nairobi

Anglais

cheap prostitution nairobi

Dernière mise à jour : 2021-06-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa hakika kama kungekwa na noti bandia kwenye mzunguko wa uchumi tungeshaona mfumuko wa bei ukipaa mara tatu.

Anglais

honestly if there is fake money circulating in the economy we would have seen inflation tripling.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wanafanyakazi wa ki-filipino wakiandamana karibu na ikulu ya rais wakidai kupandishiwa mshahara na kudhibiti mfumuko wa bei.

Anglais

filipino workers march near the presidential palace demanding higher wages and rollback of prices.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

maandamano yaliratibiwa ili kupinga mfumuko wa bei na mpango wa serikali kubana matumizi ambao ulitangazwa na rais wa sudan omar al-bashir na kuanza kutekelezwa juma lililopita.

Anglais

the demonstrations were organized to protest against rising prices and the government’s new austerity plans that were announced by sudanese president omar al-bashir and implemented last week.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mwezi mei, benki ya dunia iitaka serikali ya zambiakutokuingilia upangaji wa bei ya unga wa mahindi unaouzwa na wakulima kwa shirika la hifadhi ya chakula la nchi hiyo na wadau wengine katika sekta ya uchumi wa kilimo.

Anglais

in may, the world bank urged the zambian government not to interfere in determining the floor prices of maize sold by farmers to the food reserve agency and other interested parties in the agri-business chain.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

habari bwana samahani binafsi kazi imenizidi mazingira haya ambayo nimekutana nayo kwangu ni ngumu sana ninakula vizuri na kulala vizuri hakuna shida lakini mazingira ya kazi ni magumu sana kwangu siwezi. tafadhali nahitaji kurudi nyumbani nitakutafutia chef bora kuliko mimi na wa bei rahisi pia na cheeper pia

Anglais

hello sir i'm sorry personally work has overwhelmed me this environment i have encountered for me is very difficult i eat well and sleep well no problem but the working environment is very difficult for me i can't. please i need to come back home i will find you a better chef than me and a cheaper one as well and cheeper also

Dernière mise à jour : 2020-11-15
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

aban idrees alishuhudia maandamano jijini hebron na alitwiti: jijini hebron, magari yamezuiwa kuendelea na safari kabisa baada ya maandamano ya kupinga mfumuko wa bei za bidhaa wakishinikiza serekali ya fayyad kujiuzulu.

Anglais

aban idrees witnessed a protest in hebron and tweeted : in hebron the traffic is in absolute paralysis after the protests against the high cost of living demanding the government of fayyad to resign.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

magari yote yalionekana kana kwamba ndio yametolewa kiwandani, yenye kung'aa na ya kifahari; magari mapya ni jambo tililokuwa tumeanza kulizoea peru, baada ya mfumuko wa bei usiozuilika uliotuacha wengi wetu kama mabilionea tusiokuwa na uwezo wa kununua chochote.

Anglais

all the cars looked like they had just rolled off the factory assembly line, glossy and splendid. new cars was something we were just starting to get used to in peru, after out-of-control hyperinflation had made all of us billionaires with little purchasing power.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,035,963,051 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK