Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
asante sana ndugu zetu
Dernière mise à jour : 2023-12-14
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ambao maneno yake yameandikwa kwa damu ya ndugu zetu
whose words were written with the blood of our brothers sailed off
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
nawahimizeni kwa jina la bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
i charge you by the lord that this epistle be read unto all the holy brethren.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
salamu zetu kwa ndugu zetu wa laodikea; msalimuni dada nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.
salute the brethren which are in laodicea, and nymphas, and the church which is in his house.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
sisi tuliendelea na safari yetu kutoka tiro tukafika tolemai ambapo tuliwasalimu ndugu zetu, tukakaa nao siku moja.
and when we had finished our course from tyre, we came to ptolemais, and saluted the brethren, and abode with them one day.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tughufirie sisi na ndugu zetu walio tutangulia kwa imani, wala usijaalie ndani ya nyoyo zetu undani kwa walio amini.
forgive us and our brethren who have preceded us in faith, and put not in our hearts any hatred against those who have believed.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
jumuiya ya global voices na mtandao wetu wa marafiki na washirika tunadai kuachiliwa kwa ndugu zetu hao ambao idadi yao ni tisa.
the global voices community and our network of friends and allies are demanding the release of the nine men and women.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
sisi tunajua kwamba tumekwisha pita kutoka katika kifo na kuingia katika uzima kwa sababu tunawapenda ndugu zetu. mtu asiye na upendo hubaki katika kifo.
we know that we have passed from death unto life, because we love the brethren. he that loveth not his brother abideth in death.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
katika kuadhimisha mwaka mmoja tangu kukamatwa na kuwekwa kizuizini kwa wanablogu wa zone9, jumuiya yetu ilitengeneza video hii kuwaunga mkono ndugu zetu hawa wanaoshikiliwa jela.
to mark the one-year anniversary of the arrest and detention of the zone9 bloggers and associated journalists, our community crowd-sourced this video to support our jailed colleagues.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hivyo, ndugu zetu, chagueni miongoni mwenu watu saba wenye sifa njema, waliojawa na roho na wenye hekima; nasi tutawakabidhi jukumu hilo.
wherefore, brethren, look ye out among you seven men of honest report, full of the holy ghost and wisdom, whom we may appoint over this business.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
twawasihi ndugu zetu waeneze ujumbe wetu na kuhimiza upinzani baina yetu wa-islamu wataowakamata wale wanaodai kuwa waislamu lakini kiukweli ni wafanyakazi tu wa shetani, na ndio wanaoendeleza vitendo hivi.
we implore on brothers to spread our messages and encourage a resistance among us muslims who will apprehend those who claim to be muslims but are simply workers of the devil, and perpetrate these atrocities.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
na walio kuja baada yao wanasema: mola wetu mlezi! tughufirie sisi na ndugu zetu walio tutangulia kwa imani, wala usijaalie ndani ya nyoyo zetu undani kwa walio amini.
(and it also belongs to) those who came after them, and who pray: “lord, forgive us and our brethren who have preceded us in faith, and do not put in our hearts any rancour towards those who believe.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ukweli ni kwamba, mkulima mzee asiye na kinga akiwa kitandani kwake kwa namna ya kikatili kabisa kwa fimbo na panga alipigwa hadi kifo na utawala wa leo, mazingira yaliyoandaliwa kwa ajili ya mauaji haya yametekelezwa makusudi ili kuwaangamiza ndugu zetu.
the fact is, a vulnerable elderly farmer in his bedroom on barbaric way with sticks and pangas beaten to death and the regime of the day, the climate created for this genocide being committed against our people are.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tito ni mwenzangu; tunafanya kazi pamoja kwa ajili yenu; lakini kuhusu hawa ndugu zetu wengine, wanaokuja pamoja nao, hao ni wajumbe wa makanisa, na utukufu kwa kristo.
whether any do inquire of titus, he is my partner and fellowhelper concerning you: or our brethren be inquired of, they are the messengers of the churches, and the glory of christ.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kisha nikasikia sauti kubwa kutoka mbinguni ikisema: "sasa ukombozi utokao kwa mungu umefika! nguvu na utawala wa mungu wetu umedhihirika. na kristo wake ameonyesha mamlaka yake! maana yule mdhalimu wa ndugu zetu, aliyesimama mbele ya mungu akiwashtaki usiku na mchana, sasa ametupwa nje.
and i heard a loud voice saying in heaven, now is come salvation, and strength, and the kingdom of our god, and the power of his christ: for the accuser of our brethren is cast down, which accused them before our god day and night.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent