Demander à Google

Vous avez cherché: pembe za ndovu (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

pembe za dunia

Anglais

corners of the world

Dernière mise à jour : 2017-07-16
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

China inategemea pembe za ndovu kuzalisha bidhaa hizo.

Anglais

China is at fault, the ivory is in their literal laps to be carved.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Uingereza imesema hapana kwa uuzaji wa pembe za ndovu.

Anglais

The UK has said no to ivory sales.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Hebu tafakari kuhusu tembo waliokufa ili kupata shehena ya tani 25 ya pembe za ndovu.

Anglais

Think about the elephants that died to create that 25 tonne pile of tusks.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Lucy na Christine wakiigiza kama wasemaji wa kampeni ya kupinga biashara ya pembe za ndovu mjini Hong Kong.

Anglais

Lucy and Christine are acting as the spokesperson for the anti-ivory trade campaign in Hong Kong.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Christine anataka wateja waelewe kuwa kununua bidhaa zinazotokana na pembe za ndovu ni sawa na kuua tembo.

Anglais

Christine wants consumers aware that buying of ivory products is equal to killing of elephants.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Lakini kwanza tunakutaka wewe kusaini tamko letu kuiomba serikali ya Hong Kong kuteketeza shehena ya pembe za ndovu.

Anglais

But first we want you to sign our petition asking the Hong Kong government to crush and burn the stockpile of ivory.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Zaidi, biashara ya ndani ya bidhaa zinazotokana na pembe za ndovu inaruhusiwa nchini Hong Kong na hata bara China.

Anglais

Furthermore, domestic trade of ivory accessories is allowed both in Hong Kong and in mainland China.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

China ni kichocheo cha biashara ya pembe za ndovu, lakini hata hivyo inadai haihusiki na uwindaji haramu wa tembo.

Anglais

China is the driving factor in the ivory trade, yet claims they are not responsible for poaching.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kwa mujibu wa ushirikiano huo, kutekelezwa kwa shehena hiyo ni mwanzo tu, lengo lao ni kupigwa marufuku biashara ya pembe za ndovu:

Anglais

As the coalition explained, destroying the stockpiles is only a start, their mission is to ban the domestic ivory trade:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Mwisho wa siku maandamano upinzani dhidi ya biashara ya pembe za ndovu itabidi uongozwe na Waafrika ikiwa ulimwengu uliobaki utatakiwa kuona kile kinachoifanya kampeni ya Kenya kuwa na nguvu.

Anglais

At the end of the day the protest against the trade in ivory will have to be led by Africans if the rest of the world is to take any notice which makes Kenya’s campaign so powerful.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kikundi kinachojulikana kama Jukwaa la Ndovu Kenya kinaongoza jamii ya kiraia ya Kenya katika upinzani dhidi ya biashraa ya pembe za ndovu na yameandaa maelezo muhimu kuhusu suala hilo.

Anglais

A group known as the Kenya Elephant Forum is leading the Kenyan civil society in the protest against ivory trade resumption and have produced fact sheets on the issue.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Lakini ikiwa Wachina na Waasia wengine wataendelea kuwa masoko ya pembe za ndovu na kukataa kufanyia kazi makubaliano ya ndani, katazo hili jipya kwa biashara ya pembe litashindwa na tutaendelea kupoteza tembo.

Anglais

But as long as the Chinese and other Asians markets continue to provide markets for ivory trinkets and refuse to implement domestic enforcement, a renewed ban on trade in ivory will fail and we will continue to lose elephants.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Ni kwa sababu hiyo kampeni za kupinga bishara ya pembe za ndovu kimataifa, kama hiyo ya Waokoe Tembo Wote, zinatoa wito wa kumalizwa kwa biashara ya vito vinavyotokana na pembe hizo nchini China:

Anglais

That's why international anti-ivory trade campaigns, such as Save All Elephants, are calling for a a stop to ivory carving industry in China:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Tunaitaka serikali ya China kupiga marufuku biashara hiyo ya tembo ndani ya nchi hiyo, kuyafunga maduka yote yanayouza bidhaa za pembe za ndovu na kufunga viwanda 37 vinavyomilikiwa na serikali vinavyotengeneza bidhaa hizo nchini kote.

Anglais

We also want the Chinese government to ban its domestic ivory trade, to shut down the shops selling ivory products and to close down the 37 state-owned ivory carving factories across the country.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kisha nikamwona mnyama mwingine anatoka ardhini. Alikuwa na pembe mbili kama pembe za kondoo, na aliongea kama joka.

Anglais

And I beheld another beast coming up out of the earth; and he had two horns like a lamb, and he spake as a dragon.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Muungano wa watu binafsi na Asasi Zisizo za Serikali zinazoguswa na tatizo la ujangili wa tembo, Hong Kong kwa Tembo, uliandamana mnamo Oktoba 4 katikati ya jiji wakiitaka serikali ya Hong Kong kuteketeza hifadhi yake ya tani 25 za pembe za ndovu.

Anglais

A coalition of concerned individuals and NGOs, Hong Kong for Elephants, rallied on October 4 in the city center calling on the Hong Kong Government to destroy its entire stockpile of 25 tonnes of confiscated ivory.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Katika makala hii ya blogu yake, Harvey ameweka viungo vya maelezo muhimu kuhusu suala hilo ya KEF ambayo unaweza kutaka kuyasoma ili kuona tatizo la pembe za ndovu na maana ya mapendekezo ya Tanzania/Zambia.

Anglais

In this blog post, Harvey has included links to the KEF Fact Sheets that you may want to read in order to understand the ivory problem and the likely implication of the Tanzania/Zambia proposals.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Paula anaandika kwenye blogu mpya ya WildlifeDirect iitwayo Ban Ivory -inayojitoa mahususi kupiga kampeni kupinga pembe za ndovu- akiuliza “Je, tembo wanathamani kuliko meno yao?”.

Anglais

Paula writes on Ban Ivory - a new blog at WildlifeDirect dedicated to the campaign against ivory - asking "Are elephants worth more than their teeth".

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Mbali na kukuza uelewa wa jamii, muungano huo utawsilisha saini zilizokusanywa kutokana na tamko la mtandaoni kwa serikali ya Hong Kong na umeandaa mkutano na Idara ya Kilimo, Uvuvi na Hifadhi kujadili tamko lao la kuteketezwa kwa shehena ya pembe za ndovu zilzokamatwa.

Anglais

Apart from raising public awareness, the coalition will submit the signatures collected from the online petition to the Hong Kong government and hasarranged a meeting with the Agriculture, Fisheries and Conservation Department to discuss their petition to destroy the stockpiles of confiscated ivory.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK