Vous avez cherché: siku ya afya ya lishe ya kijiji (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

siku ya afya ya lishe ya kijiji

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

huduma ya afya ya kazi

Anglais

provision of occupation health service

Dernière mise à jour : 2024-04-14
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

elimu ya afya ya mwili

Anglais

physical health education

Dernière mise à jour : 2024-04-27
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mamlaka ya afya ya korea na uchina yalipendekeza matumizi ya chloroquine.

Anglais

korean and chinese health authorities recommend the use of chloroquine.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

elif alimaliza phd yake katika shule ya afya ya jamii ya chuo kikuu cha harvard.

Anglais

elif had completed her phd at the harvard university's school of public health.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

je athari zake kwa matendo ya afya ya umma ni zipi?

Anglais

what are the implications for public health practice?

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

tume ya afya ya manispaa ya wuhan baadaye iliyoa notisi ya umma tarehe 31 desemba na kujulisha who.

Anglais

the wuhan municipal health commission later released a public notice on 31 december and informed the who.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ufilipino: maoni ya wanablog juu ya elimu ya ya afya ya uzazi

Anglais

philippines: bloggers' views on sex education · global voices

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

baadhi ya sera zinapendekezwa kama hatua nzuri ya kukabiliana na mahitaji ya afya ya akili na ya mwili kwa vijana.

Anglais

some policies are suggested to better respond to the mental and overall health needs of adolescents.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

idara ya afya ya marekani na huduma za kibinadamu zilitangaza mkurupuko wa dharura ya afya ya umma mnamo tarehe 31 januari.

Anglais

the united states department of health and human services declared the outbreak a "public health emergency" on january 31.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

zaidi, utoaji mimba una madhara ya afya ya kisaikolojia na kimwili kwa wote waliohusika.

Anglais

moreover, abortions have negative consequences on the psychological and physical health of all those involved.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

idara ya afya ya umma ya california inataka kuweka uthabiti katika jimbo lote ili kuhakikisha kwamba tunapunguza madhara ya covid-19.

Anglais

the california department of public health looks to establish consistency across the state in order to ensure that we mitigate the impact of covid-19.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kipindi cha pili cha serikali ya alberto fujimori; sera ya taifa ya afya ya uzazi na uzazi wa mpango ilitekelezwa sera hiyo ilikusudia kupunga kasi ya uzazi.

Anglais

second period of the government of alberto fujimori; it was implemented the national program on reproductive health and family planning policy aimed at reducing the overall fertility rates.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

virusi vinavyosababisha ebola viitwavyo virion kupitia wikimedia commons - picha ya maktaba ya afya ya umma, #10816- kwa matumizi ya umma

Anglais

ebola virus virion via wikimedia commons - public health image library, #10816- public domain

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

na ambapo ili kuhifadhi afya na usalama wa umma katika jimbo lote la california, ninaona ni muhimu kwa wana califoronia wote kufuata malekezo ya afya ya umma ya jimbo kutoka kwa idara ya afya ya umma.

Anglais

and whereas for the preservation of public health and safety throughout the entire state of california, i find it necessary for all californians to heed the state public health directives from the department of public health.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hata vijana wanaokwenda shule wana taarifa kidogo sana kuhusu vvu, kama mfano masuala ya afya ya uzazi hayafundishwi kabisa katika shule za liberia.

Anglais

even the youth who go to school have minimal information about hiv, as such reproductive health issues are not taught in liberian schools.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kati ya sababu za mimba za utotoni, theluthi moja ya mimba zisizotarajiwa ni matokeo ya utokutumia kinga, na nuu ya wasichana wanaoathirika ni wale ambao hawakupata elimu ya afya ya uzazi kabla ya kupata mimba.

Anglais

among the causes of teen pregnancy, it's worth mentioning that one-third of unwanted pregnancies are a result of not using protection, and half of the girls affected didn't receive proper sexual and reproductive education before getting pregnant.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

matibabu inaweza kutumiwa kwa wale wanaonyesha dalili isiyo kali mwanzoni mwa maambukizo hayo. who na tume ya kitaifa ya afya ya uchina imechapisha mapendekezo ya kuwatunza watu waliolazwa hopitalini kwa sababu ya covid-19.

Anglais

supportive treatments may be useful in those with mild symptoms at the early stage of infection.the who and chinese national health commission have published recommendations for taking care of people who are hospitalised with covid-19.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hivyo, tiba ya afya ya kiakili inapaswa kutolewa kwa wagonjwa wa covid-19, watu wanaoshukiwa na watu waliogusana nao pamoja na umma wa jumla ambao wanahitaji.

Anglais

thus, mental health care should be provided to covid-19 patients, suspected individuals, and people in contact with them as well as the general public who are in need.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

jamii. taarifa zilizopatikana zitatumiwa na wizara ya afya ya umma na usafi wa mazingira katika kuboresha mipango ya ukarabati kwa watu wenye matatizo ya akili. taarifa hii itatumika zaidi katika mapitio ya sera za kitaifa hasa udhibiti wa dawa za kulevya ili kuzuia matumizi mabaya ya dawa za kulevya.

Anglais

voluntarism participation in this research is voluntary. if you choose to participate in this study you may withdraw at any time. if you do not wish to participate, you do not have to provide any reason for your decision not to participate nor will you be victimized.

Dernière mise à jour : 2023-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwenye tukio hilo, wanaharakati walisoma barua ambayo ilitumwa na arcoiris kwenda kwa mbunge wa bunge la nchi hiyo, esteban lazo, kupinga kuondolewa kwa utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya vvu vinavyoonekana kuleta hisia ya ubaguzi katika mazingira ya kazi kwenye sheria mpya ya kazi nchini humo.

Anglais

at the event, activists read the letter that arcoiris recently sent to esteban lazo, chairman of the country's legislature, the national assembly of people's power, in protest of the exclusion of gender identity and hiv status as motives of discrimination in the work environment in the new cuban labor code.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,787,732,654 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK