Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
ni mkusanyiko wa fsct mbichi na takwimu ambazo hazijapangwa
is the collection of raw fact and figure which are unorganized
Dernière mise à jour : 2024-11-22
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
leo tunakumbuka mojawapo ya wanasayansi wakubwa kipindi chote na takwimu kubwa katika mapinduzi ya kisayansi
today we remember one of the greatest scientists of all time and a major figure in the scientific revolution
Dernière mise à jour : 2018-07-09
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kutokana na takwimu hizi, hatuna shaka kwamba wakulima wetu wanao uwezo wa kutumia simu za mkononi.
from this data, we have no doubt that our farmers are well able to use cell phones.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
timu za misaada bado zinaendelea kutathmini uharibifu uliosababishwa na vimbunga viwili, na takwimu zinategemewa kuongezeka wakati ripoti ya uharibifu uliotokea ikikusanywa.
relief teams are still assessing the damage caused by the two storms, and figures are expected to rise as more information on the full extent of the damage is gathered.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kulingana na takwimu za chuo kikuu cha johns hopkins, mgao wa vifo kulingana na visa duniani ni asilimia 6.9 (153,822/2,240.191) hadi 17 aprili 2020.
based on johns hopkins university statistics, the global death-to-case ratio is 6.9% (153,822/2,240,191) as of 17 april 2020.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
chama cha bingu, ddp, kimeshinda uchaguzi wa rais kwa kura takriban 2,730,630 wakati mseto wa mcp/udf uliambulia kura 1,270,057, kura takriban 200, 000 pungufu ya zile za bingu . ujumbe mkuu unaotolewa na takwimu hizi ni kuwa bingu alichaguliwa na taifa zima, na unazua wazo kuwa pengine uongozi bora unaweza kutokomeza sarakani ya ukabila ambayo wengi wetu tulidhani ilikuwa bado inazengea kutafuna siasa na maisha yetu.
bingu’s party, the dpp, won the presidential election with roughly 2,730,630 votes while the mcp/udf alliance scooped circa 1,270,057, almost 200,000 votes below half of bingu’s votes the strong message arising from these figures is that bingu was voted into power by the entire nation, raising postulates about whether good leadership styles could obliterate the tribal cancer that many of us thought was out to consume our political and everyday lives.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: