Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
tunu za jadi za ki-afrika zinazokabili uchumi huria
traditional african values facing the liberal economy
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
samantha newport anaandika kuhusu utata uliopo kwenye blogu ya mbuga za taifa za virunga:
samantha newport writes about the confusion on the virunga park blog:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kadiri uchaguzi wa marekani unavyokaribia, ndivyo kadiri macho ya kimataifa yanavyozidi kuelekezwa katika sera za nje za taifa hilo na wagombea wakuu.
as the us elections loom closer, international attention to us foreign policy and the candidates has increased.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwaka 2011, tulitaarifu kuhusu malalamiko ya watumiaji wa mtandao wa intaneti wa nigeria kuhusiana na mabadiliko ya tarehe za chaguzi za taifa za kibunge.
in 2011, we reported the reaction of nigerian netizens to the rescheduling of the national parliamentary elections.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kesi za hivi karibuni za mameneja wa viwanja vya ndege vya msumbiji, kufujwa kwa mamilioni ya dola ya fedha za taifa vilikumbusha kuwa ufisadi unaendelea kutokea katika ngazi za juu.
the recent trial of managers of mozambican airports, a state enterprise, for embezzlement of millions of dollars of state monies reminded that corruption continues to occur at a high level.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mnamo novemba 2013, croatia ilijiunga na orodha ya kuongezeka kwa timu za taifa za kandanda ambazo fifa imezipiga faini kwa ajili ya tabia za ubaguzi wa rangi ya mashabiki wao au wajumbe wa timu.
in november 2013, croatia and greece joined the growing list of national football teams that fifa has fined for racist behavior of their fans or team members.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
timu za taifa za syria na lebanoni hazijawahi kufuzu kuingia katika fainali za kombe la dunia, hata hivyo hilo haliwazuii watu kutokuwa mashabiki wakali na kuonyesha upenzi wao kwa timu wanazozipenda katika kila njia inayowezekana.
syrian and lebanese national teams have never qualified to the world cup finals, yet that does not stop people from being hardcore fans and showing their admiration to their favorite teams in any way possible.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
yeye alikuwa na uhawilishaji uliokithiri ambao ulimbadilisha kutoka mwanasiasa wa ki-malay hadi kuwa mtu anayetangazwa kuwa mtu wa umoja na mtunzaji wa tunu za malayasia.
he has had an extreme makeover which transformed him from an ultra malay rights politician to one that espouse the inclusive and tolerant values of 1malaysia.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
@commsbh: hatua hizo zinakuja kwa ajili ya kuzuia uvunjaji wa tunu za maadili na utamaduni pamoja na sababu za usalama.
@commsbh: the procedures comes in order to prevent any breaching of observable moral values and traditions as well as for security considerations.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
niliona ni jambo la ajabu pale aliposema kuwa “hawakutumia vibaya rasilimali za taifa huku wakiwa na ufahamu huo” je, ina maana kuwa walitumia vibaya rasilimali za taifa lakini hawakujua kuwa walikuwa wanafanya hivyo?
i found it interesting when he said they did not “knowingly abuse public resources” that mean they abused public resources but did not know they were doing so?
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
matatizo yanayosababishwa na urekebishwaji matiti wenye makosa yamezua mgogoro mkubwa katika tasnia ya afya ya jamii. kumekuwa na maswali juu ya tunu za kimaadili dhidi ya kujipatia fedha katika njia hii ya kurekebisha matiti barani amerika ya kusini. kengele ya kwanza ya onyo ilisikika mwanzoni mwa mwaka 2010.
the problems arising from the defective pip breast implants have led to a profound crisis within the realm of public health, calling into question the values surrounding and resources apportioned to breast augmentation in latin america.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
siku nne zilizopita waasi wa cndp waliteka kambi kubwa ya jeshi huko rumangabo kadhalika makao makuu ya mbuga za taifa za virunga zenye ukubwa wa maili mraba 3000 (kilometa za mraba 7,800) ambazo ni makazi ya sokwe wa milimani wapatao 200 kati ya jumla ya sokwe 700 wa aina hiyo duniani.
four days ago the cndp rebels seized a major military camp at rumangabo as well as the headquarters of the 3,000 square mile (7,800 square kilometer) virunga national park that is home to 200 of the 700 endangered mountain gorillas in the world.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kabeya tshikuku, profesa katika taasisi ya utafiti ya kiuchumi na kijamii (ires) katika chuo kikuu cha kinshasa, anaamini kuwa mantiki ya kibiashara ni kulazimisha watunga sera wa afrika kufanya maamuzi magumu kati ya tunu za msingi wa ustaarabu wao (mshikamano wa kifamilia, ustawi wa marafiki zao nk) na utawala wa biashara, unaohusishwa na kutafuta faida tu bila ya kujali ubinadamu.
kabeya tshikuku, professor at the institute of economic and social research (ires) at the university of kinshasa, has argued that business logic is forcing african policymakers to make a difficult choice between the core values of their civilization (family solidarity, peers well being and other support platforms) and business administration, linked to a search for profit devoid of human consideration.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.