Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
caribbean: tafakari mpya kuhusu uchapishaji wa mtandaoni
caribbean: rethinking online publishing · global voices
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
aina ya mtandao wa uandishi na uchapishaji wa mtandaoni ambao blogu ya kikaribea ya vitabu na geoffrey philp wanawazia utahitaji aina hii ya umotomoto na umahiri.
an online writing and publishing network like the one caribbean book blog and geoffrey philp imagine will need this kind of breadth and enthusiasm.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
jing gao kutoka blogu ya tofu anaeleza namna serikali ya fuji ilivyo na mikakati michafu dhidi ya yunnan na jinsi inavyochukua hatua za kuzuia uchapishaji wa habari zinazoweka wazi kashfa za ufisadi zinazomkabili afisa mmoja wa serikali.
jing gao from ministry of tofu explains how the fujian government extended its black hand to yunnan to stop the publication of a news story that exposes the corruption of a fujian government official.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwa mfano, pia walituhumiwa kwa kuchagua msimamo dhaifu kwenye kesi ya ghazi beji na jabeur mejir, ambao walipatikana na hatia na kufungwa kwa miaka saba na nusu jela mwaka jana, kwa uchapishaji wa maudhui mtandaoni yaliyoonyesha kukashifu uislamu.
for instance, they were also accused of adopting a weak stance on the case of ghazi beji and jabeur mejir, who were convicted to seven and half years in prison last year, over the publication of online content deemed offensive to islam.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
baada ya uchapishaji wa pamoja #sobreontem (kuhusu jana) katika kusaidia harakati ambayo ilianzishamaandamano haya juni iliyopita mjini são paulo, wasanii wa brazil sasa wanajiunga pamoja kwa sababu mpya.
after the collective publication #sobreontem (about yesterday) in support of the movement that started the protests this past june in são paulo, brazilian artists are now coming together for a new cause.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tangu ilipoanzishwa rasmi tarehe 11 oktoba 2009, caribbean book blog (blogu ya karibea ya vitabu) imeshapandisha mfululizo wa insha zinazotafakarisha na zilizosheheni takwimu kuhusu masuala yanayowakabili wachapishaji, waandishi na wasomaji waishio karibea, hasa katika kipindi hiki ambapo uchapishaji wa fasihi mahali pengi duniani unahangaika kutokana na matatizo ya kifedha na mabadiliko ya kiteknolojia.
since launching on 11 october, 2009, caribbean book blog has posted a series of thoughtful, statistics-laden essays on the issues facing caribbean publishers, writers, and readers, at a time when literary publishing around the world is grappling with financial hardship and technological change.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :