Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
uchimbaji wa mafuta ni lazima uwanufaishe zaidi watu wa ghana hususan, ni lazima iwe hatua katika kutengeneza ajira.
the drilling of the oil must benefit the people of ghana more especially, it should a step in creating employment.
aliisihi kampuni hiyo kuwatumia wataalamu wa ghana wanaopatikana na vile vile kuwakinga watu na changamoto zinazoweza kutokea kutokana na uchimbaji wa mafuta.
he urged the company to make use of available ghanaian expertise as well as insulate the people against any challenges that would emanate from the drilling of oil.
kwa mfano, mategemeo ya benki ya maendeleo ya afrika ni kuwa uchimbaji huu wa gesi utaongeza kiasi kikubwa cha upatikanaji wa ajira.
afdb's forecast, for instance, makes reference to the potential jobs this activity will create.
ni filamu bora kabisa na yenye maudhui mazito ya uchunguzi kuhusu udhaifu wa sekta ya uchimbaji wa madini nchini zambia na uharibifu wa kimazingira unaoambatana na shughuli hizo.
a powerful documentary on the economic plunder of copper mining in zambia and the associated environmental damage.
inakadiriwa kuwa kuna wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.
there are an estimated 5,000 brazilians registered in angola, mainly working for construction, mining and agribusiness companies.
makundi anuai ya lumad ambayo yanapinga kuingiliwa na makampuni ya uchimbaji madini yamejitokeza kwenye vyombo vya habari kati ya miezi ya septemba na oktoba 2015 mara baada ya kushambuliwa na makundi ya watu mithili ya wanajeshi.
various lumad groups which are resisting the entry of mining firms into their communities has been in the news during september and october 2015 after they were attacked by paramilitary groups.
vietnam ilishutumiwa na google na mcafee kwa kufanya mashambulizi ya mtandaoni dhidi ya baadhi ya tovuti, hasa tovuti zinazoandika kuhusu uchimbaji wa madini yanayotengeneza bati, ambao ni mjadala tata nchini humo.
vietnam was accused by google and mcafee of launching cyber attacks against some websites, specifically websites that advocate opposition to bauxite mining, a controversial issue in the country.
"tunashindwa kuingia mikataba inayohusu rasilimali kama ilivyokuwa kwenye uchimbaji madini na sasa katika mafuta na gesi kwa kuwa uwezo wetu bado ni mdogo,” alisema rutabanzibwa.
"we are failing to enter into resource contracts as it was in mining and currently in oil and gas because our capacity is very low,” said rutabanzibwa.
tangu wakati huo kampuni ya uchimbaji dhahabu ya barrick imekuwa si jina geni miongoni wa raia wa dominika hasa baada ya taarifa fulani kuhusu mkataba iliotia saini na dola la dominika kuwekwa hadharani, na mkataba huo uliridhiwa mwishoni mwa mwaka 2009 na bunge kwa kupata idadi kubwa ya kura za wabunge.
barrick gold has been in the sights of the dominicans some of the details about the signed contract were made public, a contract which was approved at the end of 2009 in congress by the vast majority of legislators.
hata hivyo, urithi huu wa aina yake unahatarishwa na ongezeko la haraka la miji, harakati za kibiashara pamoja na uporaji wa ardhi yao kupitia shughuli zinazopewa baraka zote na serikali zikiwamo zile za kilimo, uvunaji miti na uchimbaji wa madini.
however, the unique heritage of these tribes is threatened by rapid urbanization, commercialization, and encroachment of their lands by state-approved activities such as agribusiness ventures, logging, and mining.
kampuni ya kifaransa ya utibuji wa maji, ijulikanayo kama veolia, na wasambazaji wakuu wa maji jijini lanzhou, ililiambia shirika la habari la serikali la xinhua kuwa, benzini iliyopo kwenye maji imetoka kwenye viwanda vya uchimbaji na usafishaji wa mafuta ya asili.
french water treatment company veolia, the main water supplier in lanzhou, told state-run xinhua news agency that the polluted water might be caused by local petrochemical companies.
"oplan bayanihan yapelekea jamii ya lumad kuziacha ardhi zao, lakini pia wanaweka mazingira ya makampuni kumiliki ardhi na pia wanatumia majeshi ya ufilipino kama ulinzi wao huku wakipora na kujizolea maliasili ya madini."picha kwa hisani ya anakbayan usa.akizungumizia habari kuwa shughuli zifananazo za kijeshi pamoja na zile za uchimbaji madini zinachochea kuondosha makabila ya lumad kwenye maeneo yao, raia wengi wa ufilipino wameita sserikali kuchukua hatua mapema iwezekanavyo ili kukomesha ukatili dhidi ya wazawa.
"oplan bayanihan pushes lumads to evacuate their lands, but also paves the way for corporations to take hold of the land, and use the armed forces of the philippines as their own security force as they plunder and suck the earth of its natural elements." image and caption by anakbayan usa.reacting to reports that paramilitary activities and mining operations are displacing lumad tribes, many filipinos have called for urgent government action to stop the violence against the indigenous peoples.