Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
somalia imekuwa ikichukuliwa kama nchi iliyoshindwa, nchi inayohusishwa na vifo, mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yasiyoisha, vita, ugaidi na uharamia wa kisasa.
somalia has been dubbed as a failed state, a country associated with death, long running civil strife, warlords, terrorism and modern piracy.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
inajulikana vyema kuwa naijeria ina tatizo la muonekano – utapeli wa 419 kwenye intaneti, rushwa, uharamia wa mafuta katika jimbo la delta – kwa watu wengi, huu ndio uhusiano unaokuja akilini wakati nchi yenye watu wengi zaidi afrika inapotajwa.
it's well known that nigeria has an image problem – 419 internet scams, corruption, oil piracy in the delta region – for many people, these are the associations that come to mind when africa's most populous country is mentioned.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :