Vous avez cherché: ulitembelea ukurasa huu kwenye date (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

ulitembelea ukurasa huu kwenye date

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

ukurasa huu ndiyo jukwaa lao.

Anglais

this is their platform.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ili kupata habari kama zinavyotukia, angalia ukurasa huu wa delicious.

Anglais

for developing news on this event, check this delicious feed.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ninajivunia kuendelea kuitumikia nchi yangu, wakati huu kwenye mahakama kuu.

Anglais

i am proud to continue to serve this country, this time from the supreme court.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ingizo la blogu mapema mwaka huu kwenye vibe ghana liliripoti kuwa:

Anglais

a blog entry posted early this year on vibe ghana reported that:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

maana kuna ukweli unaoonyesha kwamba ukurasa huu haujafanyiwa marekebisho mapya tangu mwezi agosti 2009.

Anglais

for what explains the fact that this page has gone non-updated since august of 2009.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

je, jumuiya ya wachangiaji ingependa mimi niache kuendelea kuendesha ukurasa huu?:) ~ mwendeshaji

Anglais

would the community like me to step down? :) ~ the administrator

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

anasema "mimi na watoto wangu huuhuisha (kuweka habari mpya) ukurasa huu."

Anglais

he says "my children and i update this page."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

kwa kuusambaza ukurasa huu, unawezesha ukurasa huu kutembelewa na uungwaji mkono wa ukomeshwaji wa mauaji ya watoto nchini syria.

Anglais

by sharing this page, you help to expand its reach and support to stop the killing of childhood in syria.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mukiza: nina wasiwasi kwamba mwendeshaji ukurasa huu ambaye hatumjui huenda amekwishakwenda kuonana na muumba wake pasipo sisi kufahamu.

Anglais

mukiza i have this feeling that the anonymous admin for this page may have silently met his or her creator without our knowledge.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

habari za maandamano ya upinzani ya januari 25 ya vuguvugu la la vijana wa aprili 6 zinapatikana kwenye ukurasa huu wa facebook (ar).

Anglais

a continuous coverage page is available for the january 25 protests on this april 6 youth movement facebook page (ar).

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

unaweza kusoma zaidi mjadala huu kwenye tovuti ya nigerianstalk.org au tafuta kwenye google kwa kutumia maneno haya “district 9 race”.

Anglais

read more on the debate at nigerianstalk.org or google "district 9 race".

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

baada ya habari kufahamika kwamba ndege ya shirika la ndege la malaysia mh17 imeanguka mashariki mwa ukraine, shirika la ndege la singapore liliweka ujumbe huu kwenye mtandao wa facebook na twita:

Anglais

after news broke out about the malaysian airlines mh17 crash in eastern ukraine, singapore airlines posted this message on facebook and twitter:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

bbc iliweka ukurasa huu wa facebook kama jitihada zake za kukwepa mashambulizi kuhusu masuala ya utawala wa sheria na dhana ya uhuru kufuatia mapinduzi ya mwezi mei, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kwa mikusanyiko ya kisiasa na kukamatwa kwa mamia ya wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mapinduzi ya kijeshi.

Anglais

the bbc set up this facebook page in an effort to avoid the systematic attack on the rule of law and liberties which followed may’s coup, including the banning of political gatherings and arresting and detaining hundreds of politicians and anti-coup activists.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

son byung-gwan(@sonkiza), mwandishi wa wavuti wa habari za kiraia za korea kusini ohmynews, alituma ujumbe huu kwenye twita: :

Anglais

son byung-gwan(@sonkiza), a reporter from the south korean citizen media site ohmynews, tweeted :

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,794,100,706 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK