Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
hapa kuna nyimbo zake kwenye mtandao wa youtube:
here is one of her songs on youtube:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
na pia ana anuani kwenye mtandao wa youtube kwa jina lake.
he has also an account on youtube with his name.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
picha mnato ya video iliyowekwa kwenye mtandao wa youtube.
screenshot from video posted on youtube.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hapa chini unaweza kusikia wimbo huo kwenye mtandao wa youtube:
below is one of his songs via youtube:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
urusi ilieneza teknolojia ya utambuzi wa uso ili kuwagundua wavunja sheria ya karantini.
russia deployed facial recognition technology to detect quarantine breakers.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mtumiaji wa youtube anayejiita benderzt aliandika hivi kuhusu yale yatakayotokana na filamu hiyo:
youtube user benderzt wrote this about the main implication of the film:
Dernière mise à jour : 2023-08-10
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
el hawary mwimbaji huru chipukizi na nyimbo zake zimeonyesha mafanikio kwenye mtandao wa youtube.
el hawary an upcoming independent singer and her songs proved a youtube success.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
wimbo wa psy ulio katika mahadhi ya pop ndio wimbo uliotazamwa zaidi kwenye mtandao wa youtube.
psy's k-pop song gangnam style is the most watched video on youtube.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
zifuatazo ni baadhi ya picha na video kutoka kwenye mtandao wa youtube kuhusiana na ugojwa huu.
the disease free equilibrium
Dernière mise à jour : 2018-01-09
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
mapigano hayo, yaliyowekwa kwenye mtandao wa youtube, yamesambazwa mno na kuzua mjadala mkali kwenye mtandao wa intaneti.
the fight, uploaded on to youtube, has gone viral and the tug-of-words continues online.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
blogu ya kumbukumbu za tahrir diaries iliweka video hii kwenye mtandao wa youtube kuadhimisha siku 100 ya kukamatwa kwa abd el fattah.
tahrir diaries posted this video on youtube to make the 100th day anniversary of abd el fattah's arrest.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
mwanaharakati wa misri ametumia mtandao wa youtube kuelezea anavyopinga utaratibu wa kulitumikia jeshi kwa lazima kwa raia wenye umri wa miaka kati ya 18 na 30.
an egyptian activist has turned to youtube to spell out his objection to the mandatory military service in the egyptian army, compulsory for men aged between 18 and 30.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kesi zilifunguliwa dhidi ya watu 60. video hii ilipakiwa katika mtandao wa youtube naprofessorziauddin inamwoonesha sharmin akishambuliwa na genge la hifazat:
cases were filed against 60 people. this video uploaded to youtube by professorziauddin shows sharmin being attacked by a hifazat mob:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
katika video hii iliyotengenezwa na kupandishwa kwenye mtandao wa youtube na transhumanism inaonyesha kuwa kunakosekana heshima ya msingi kwa wanawake katika jamii ya kihindi iliyokithiri mfumo dume.
in this moving video created and uploded to youtube by transhumanism.in it is revealed that there is lack of basic respect for women in indian patriarchal society.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
ili kuepuka mashitaka ya kuingilia haki miliko, ni kawaida kwa google (mmiliki wa youtube) kuondoa video zinazodaiwa kuingilia haki miliki.
in order to avoid copyright infringement suits, the general practice at google (owner of youtube) is to remove such videos.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
video hiyo ya sekunde 46, ilipandishwa na watu mbalimbali kwenye mtandao wa youtube, imekuwa ni mjadala wa siku miongoni mwa wanablogu wa ki-saudi leo.
the 46-second video, uploaded on several accounts on youtube, has been the talk of the saudi blogosphere today.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
zifutazo ni picha nyingine zilizopigwa na raia waishio nchini humo: video ioneshayo kimbunga bejisa katika kisiwa cha reunion. video imewekwa na animax2013 katika mtandao wa youtube.
here are additional photos and videos of the damages taken by local citizens: video of cylone bejisa in reunion island by animax2013 on youtube.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
aécio neves amefungua mashtaka dhidi ya mtandao wa twita kudai taarifa za watumiaji 66 ziwekwe wazi; hivi sasa wanablogu wanadai anatumia anuani bandia kujaribu kupambana na wapinzani wake kwenye mtandao wa youtube.
aécio neves has filed suit against twitter demanding it discloses information on 66 users; now bloggers claim he's using fake accounts to deal with negative youtube videos.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
wanamuziki maarufu wa rwanda king james, miss jojo, riderman, tom close, and urban boyz walijiunga na mapambano dhidi ya utapiamlo nchini rwanda kupitia video ya muziki kwenye mtandao wa youtube.
rwanda’s top musicians king james, miss jojo, riderman, tom close, and urban boyz join the fight against malnutrition in rwanda with a youtube music video.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
wakati watumiaji wa youtube wakiendelea kusambaza video hii ya bendi kutoka ukraine iliyoandaliwa kwa ustadi mkubwa, baadhi ya watu wanahisi kuwa, yawezekana video video hii imeandaliwa kwa siri kama namna ya kutangaza bidhaa za apple kufuatia vifaa hivi vya apple kutumika katika kazi hii iliyotukuka.
as users continue to share the ukrainian band's video masterpiece on the web, some are jokingly speculating the video might secretly be an apple promotion, since the devices play such a prominent part.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: