Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
tume ya utangazaji inabidi inabidi iongeze bidii na tukio hili linawadhihirishia.
the broadcasting commission need to pull up their socks and this incident really shows them up.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la cnn, ben wedeman ana maoni yafuatayo:
cnn's ben wedeman comments:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
anaunga mkono hatua hiyo ya tume ya utangazaji, anasema kuwa amri hiyo ilikuwa inahitajika tungu kitambo:
he fully supports the move by the broadcasting commission, noting that it was long overdue:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwandishi maarufu wa utangazaji funni ayanda pia aliandika kuhusu mkanganyiko wa hali iliyopo ya kuvutana mikono kimya kimya:
popular broadcast journalist funmi ayanda also wrote about her frustration with the prevalence passive hand-wringing:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwenye televisheni matarumbeta yanaingiliana na utangazaji, pamoja na mambo mengine, lakini uwanjani hali ya kelele ni sehemu ya mandhari.
on tv the horns conflict with the commentary, among other things, but in the ground the ambient noise is part of the atmosphere.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
nthakoana ngatane ni mwandishi, msemaji, mwimbajii, mwigizaji na mwakilishi wa shirika la habari la utangazaji la afrika kusini nchini lesotho.
nthakoana ngatane is a writer, speaker, singer, actor and south africa broadcasting corporation correspondent in lesotho.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
bila shaka siku baada ya upigaji kura na hata baada ya utangazaji wa matokeo zitakuwa nyakati za amani vile vile. #sudanref #sudan
hope the next days of voting & results will also be a time of peace. #sudanref #sudan
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
kwa mujibu wa waliotia sahihi, kila kanuni inakusudia kulazimisha kanuni za mawasiliano ya simu na utangazaji zilizopitishwa na kongamano la mexico kuzingatia kanuni za kikatiba na sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu iliyotiwa saini na mexico.
according to the signers, each regulation refered to telecommunications and broadcastiong approved by mexican congress should comply constitutional regulations and international rules about human rights signed by mexico.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
binafsi nimeanza kuangalia mapambano hayo huku nimezima sauti –mchanganyiko wa timu ya utangazaji wa espn na vuvuzela vina uwezo wa kutumika kama sindano m’badala ya sumu au kitu kama hicho.
i’ve personally begun watching the games on mute - what with the combination of espn’s commentary team and the vuvuzela capable of being substituted for lethal injection and all.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hata hivyo, ni mapambano magumu kueneza ujumbe kuhusu jukwaa hili, katika nchi ambayo vyombo vya utangazaji na magazeti bado vina nguvu sana, na bado vimo mikononi mwa vigogo wachache ambao wana nia ya ketetea maslahi yao.
however, it is an uphill battle to get the message out about the platform, in a country where broadcast and print media are still strong, held in the hands of a privileged elite bent on defending its interests.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
shirika la utangazaji la taifa cctv liliweka wazi mnamo tarehe 28 juni kuwa china inatarajia kupata yuani trilioni 8 (sawa na dola trilioni 1.18) katika mapato ya fedha kufikia mwisho wa 2010.
the state broadcaster cctv revealed in june 28 that china is expected to receive 8 trillion yuan ($1.18 trillion) in financial revenue by the end of 2010.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tamasha hilo, lililoandaliwa na kikundi cha vijana wa kitibeti, liliruhusiwa rasmi na serikali za mitaa za sehemu hiyo, na kwa mujibu wa taarifa ya shirika la utangazaji la marekani, tamasha hilo lilikuwa lina maudhui ya kuonyesha umuhimu wa lugha na utamaduni wa kitebeti.
the concert, organized by a group of tibetan youth, had received permission from local authorities, and according to a report from voice of america, the concert was to address the importance of tibetan language and culture.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :