Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
@simsimt: nilistahimili vipigo vikali kichwani kwangu kwa jiwe, kwa sababu simu yangu waliyokuwa wanaishikilia ilipigiwa simu kutoka marekani. #sudanrevolts
@simsimt: i endured severe beating up on my head w/ a rock, 'cause my phone while in their possession, received a call from the u.s. #sudanrevolts
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
siku chache baada ya mapambano makali ya polisi katika taasisi ya elimu ya sekondari ya luis vives mjini valencia , wanafunzi wamekuwa ndio shabaha ya vipigo, kusukumwa na ghasia kutoka kwa polisi wakati wakiwa katika maandamano ya amani, kwa kweli, wakiandamana kupinga ghasia za polisi.
just a few days after the brutal police crackdown at the luis vives institute of secondary education in valencia , students have again been the target of beatings, pushing and violence from the police at a pacific protest in which they were, precisely, demonstrating against police violence.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :