Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
waliandamana
accompanied
Dernière mise à jour : 2014-08-12
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
waandamanaji waliandamana katika miji mingineyo kama mashad
protesters demonstrated in several other cities such as mashad.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
adeolu akinyemi aliandika juu ya kwa nini waliandamana:
adeolu akinyemi wrote on why he marched:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
mamia ya wavenezuela waliandamana kwenye viwanja vya times square.
hundreds of venezuelans protested in times square.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
hapo awali, waandamanaji waliandamana kuelekea kwenye jengo la bunge.
ahead of the session, the protesters marched to the parliament building.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
raia wa kongo wanaoishi nje ya nchi yao waliandamana mbele ya balozi za nchi hiyo katika nchi mbalimbali.
the congolese nationals based outside the congo demonstrated in front of embassies in several different countries.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
waandamanaji waliyachukulia matokeo hayo kuwa ya kuchakachuliwa, na mamiliano waliandamana kumtaka ahmadinejad aachie madaraka.
protesters considered the elections results fraudulent, and millions rallied for ahmadinejad's removal.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
baadhi yao vile vile waliandamana mbele yamakazi ya rai huko nouakchott na wakatishia kuacha kazi ikiwa uamuzi hautabatilika.
some of them also protested in front of the presidential palace in nouakchott and threatened to resign from their posts in case the decision is not retracted.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kupigwa risasi au kukandamizwa hakujazuia mwamko wa upinzani, na maelfu waliandamana tena mjini tehran siku ya jumanne.
shootings or repression have not stopped the protest movement, and thousands marched again in tehran on tuesday.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
roho aliniambia niende pamoja nao bila kusita. hawa ndugu sita waliandamana nami pia kwenda kaisarea na huko tuliingia nyumbani mwa kornelio.
and the spirit bade me go with them, nothing doubting. moreover these six brethren accompanied me, and we entered into the man's house:
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
asubuhi baada ya tukio hilo la kutupiana risasi, wafanyakazi wa hospitali ya rasool akram mjini tehran waliandamana kupinga mauaji yaliyotokea.
the morning after this shooting, the staff of rasool akram hospital in tehran demonstrated against the killings.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
chuo kikuu cha elmo sanat mjini tehran waliandamana wakiwa na picha ya kianoush asa, mwanafunzi aliyeuawa na vikosi vya ulinzi majira ya kiangazi mwaka 2009.
elmo sanat university in tehran marched with kianoush asa's photo, a student who was murdered by security forces in the summer of 2009.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
maelfu ya watu waliandamana mjini tehran, mashdad na kwenye miji mingine mikubwa ya irani ili kupinga ushindi wa rais mahmoud ahmadinejad katika uchaguzi mkuu uliofanyika ijumaa.
thousands of people demonstrated in tehran, mashhad and several other major cities in iran to protest against president mahmoud ahmadinejad's proclaimed victory in the iranian presidential election on friday.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
tarehe 30 juni, raia wa misri waliandamana wakishinikiza kuondoka madarakani kwa kiongozi wa chama cha kindugu cha kiislam (muslim brotherhood0na rais wa misri mohamed morsi.
on june 30, egyptians took to the streets to demand that president mohamed morsi, a muslim brotherhood (mb) candidate, steps down.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
wafanyakazii hao waliandamana kuelekea kwenye makao makuu ya utawala wa jimbo hilo, majengo ya mmoja wapo wa makampuni ya wakandarasi, pamoja na majengo ya kituo cha redio ya taifa.
the workers headed to the administrative headquarters of the state before anti-riot units suppressed the protest. the workers retaliated by occupying the state building, the premises of one of the contractor companies, as well as the state radio buildings.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
ingawa hawakupewa haki ya kupiga kura katika uchaguzi uliopita wa rais na wabunge, waliandamana kwa lengo la kuifanya dunia kutambua hali inavyoendelea nchini mwao na kwa matukio mengine kupinga matokeo ya uchaguzi na kudai kuondoka kwa rais kabila.
although they weren't granted the possibility to vote in the past presidential and parliamentary elections, they protested to bring awareness to the situation in their country and in some cases to protest the results of the elections and to demand the departure of president kabila.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
leo, kundi la wanaharakati wa hong kong kutoka chama cha demokrasia na ujamaa (lsds) waliandamana nje ya ubalozi wa misri na kulilaani jeshi kwa mauaji ya halaiki mnamo agosti 14 mjini cairo.
today, a group of hong kong activists from league of social democrats and socialist action protested outside egypt consulate and condemned the military over august 14 cairo massacre.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
siku kadhaa baada ya matukio katika video iliyopita, wanawake waliandamana mjini cairo walipinga udhalilishaji wa wanawake na vile vile wakitoa wito wa kuangushwa kwa utawala wa kijeshi kama ilivyosimuliwa katika bahrain: siku ya damu ya kitaifa, maziko na ukandamizaji zaidi.
a couple of days after the events on the previous video, women marched in cairo protesting against the abuses to women and also called for the fall of military rule as told in bahrain: a bloody national day, a funeral and more suppression.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
nchini cambodia, zaidi ya wafanyakazi 6,000 wa kiwanda cha nguo waliungwa mkono na wanafunzi, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wakazi masikini wa mijini katika jiji la phnom penh ambao wote kwa pamoja waliandamana kutokea viwanja vya freedom park kuelekea kwenye bunge la nchi hiyo kutoa wito wa kuboreshewa maslahi yao pamoja na mazingira bora zaidi ya kazi.
in cambodia, more than 6,000 garment workers were joined by students, ngos, and urban poor residents in phnom penh city who marched from the freedom park to the national assembly calling for living wages and improved working conditions.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: