Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo.
as they went out, behold, they brought to him a dumb man possessed with a devil.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ilipokuwa jioni, walimletea watu wengi waliokuwa wamepagawa na pepo; naye, kwa kusema neno tu, akawafukuza hao pepo. aliwaponya pia watu wote waliokuwa wagonjwa.
when the even was come, they brought unto him many that were possessed with devils: and he cast out the spirits with his word, and healed all that were sick:
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hapo watu walimletea mtu mmoja aliyepooza mwili, amelazwa juu ya kitanda. yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza, "jipe moyo mwanangu! umesamehewa dhambi zako."
and, behold, they brought to him a man sick of the palsy, lying on a bed: and jesus seeing their faith said unto the sick of the palsy; son, be of good cheer; thy sins be forgiven thee.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent