Vous avez cherché: watatu na kaka (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

watatu na kaka

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

au ni yule mtu mwuungwana anayeishi mlango wa pili, mwenye watoto watatu na mke mzuri?

Anglais

or is it the sweet man who lives next door to me, with three kids and a friendly wife?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kuhusu wale wenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, waseme wawili au watatu, na wengine wayapime maneno yao.

Anglais

let the prophets speak two or three, and let the other judge.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

waigizaji wengine katika simulizi zake ni pamoja na kaka yake na meena ajulikanaye kwa jina la raju pamoja na kasuku ampendaye ajulikanaye kwa jina la mithu.

Anglais

the secondary characters of her stories include meena's brother raju and her pet parrot mithu.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

paltus_mk na kaka yake hatimaye waliokolewa na kupelekwa kwenye hospitali jirani na baadaye aliwasili mjini st. petersburg.

Anglais

paltus_mk and his brother were finally evacuated to a local hospital and he later arrived to st. petersburg.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

matumaini yangu wote ni wazima,mimi pia ni mzima .leo nimewezaa kuongea na kaka ombeni ameniambia kila kitu ,poleni sanaa kwa matatizo ya maradhi yaliyo kuwa yamewapata wote wawili.

Anglais

i hope you're healthy

Dernière mise à jour : 2024-01-29
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yeye na kaka yake walilelewa na mama ambaye ilimpasa kufanya kazi sana ili kuwasaidia watoto wake kupanda daraja kupitia elimu - yang alikuwa akisoma shahada ya uzamili katika chuo kikuu cha shanghai wakati kaka yake anasoma shahada ya udaktari katika chuo kikuu cha peking.

Anglais

she and her brother was brought up by her mother and they worked hard to climb up the social ladder through education - yang was pursuing her master’s degree in shanghai and her brother is pursuing his doctor’s at peking university.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

marafiki, niungeni mkono!" alitwiti mikhail dvorkovich, mfanyabiahsra wa kirusi na kaka wa mshauri wa medvedev, ikiwa ni majibu kwa tishio la marekani kuweka vikwazo dhidi ya maafisa wa urusi.

Anglais

friends, join me! #stopusa" tweeted mikhail dvorkovich, a russian businessman and brother to a medvedev adviser, as a response to threat of american sanctions against russian officials.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

mamia ya askari wa jimbo walipelekwa katika juhudi za kudhibiti magenge hayo yanayoshindana lakini haikusaidia: ugomvi kati ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya na polisi yalipelekea kutunguliwa kwa helikopta ya polisi na vifo vya polisi watatu, na kuchukua maisha ya zaidi ya watu 30 wengine, miongoni mwao wakiwemo watu wanaotuhumiwa kuwa wanachama wa magenge na wapiti njia.

Anglais

hundreds of state police deployed in an effort to subdue rival gangs did not help: the conflict between drug dealers and police resulted in a downed police helicopter killing three police officers, and claimed the lives of over 30 other people, among them suspected gang members and bystanders.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

@nadineghazzawi:mvua inanyesha familia ya razan…haleluyah :)))))))) sasa ni rasmi, dada yetu yuko nje! natumainini ndivyo itakavyokuwa kwa dada na kaka zetu wengine wote waliokamatwa.

Anglais

@nadineghazzawi: t's raining razans… hallelujah :)))))))) <3 it's official, sis is out! hopefully the same goes to all arrested sisters and brothers.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,747,690,149 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK