Vous avez cherché: wenye dhambi wote sikia (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

wenye dhambi wote sikia

Anglais

all sinners hear

Dernière mise à jour : 2020-04-19
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

sente dhambi wote sikia yesu ndiye nuru kwa giza

Anglais

all sinners hear

Dernière mise à jour : 2019-04-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kweli, sisi kwa asili ni wayahudi, na si watu wa mataifa mengine hao wenye dhambi!

Anglais

we who are jews by nature, and not sinners of the gentiles,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

tunajua kwamba mungu hawasikilizi watu wenye dhambi, ila humsikiliza yeyote mwenye kumcha na kutimiza mapenzi yake.

Anglais

now we know that god heareth not sinners: but if any man be a worshipper of god, and doeth his will, him he heareth.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini mungu amethibitisha kwamba anatupenda, maana wakati tulipokuwa bado wenye dhambi, kristo alikufa kwa ajili yetu.

Anglais

but god commendeth his love toward us, in that, while we were yet sinners, christ died for us.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kusanyiko la watu wako linaweza kujulishwa mazuri yote ambayo baadhi ya wakristo wa uganda wanawatakia wenye dhambi waitwao mashoga wa kiganda.

Anglais

your congregation can be made aware of all the good things that some christians in uganda wish some sinners called gay ugandans.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wema wako mungu,usio kifani,,,umetubariki mjini na mashambani ,,umetunyeshea wema na wenye dhambi ,asante yesue asante baba.

Anglais

wema wako mungu,usio kifani,,,umetubariki mjini na mashambani ,,umetunyeshea wema na wenye dhambi ,asante yesue asante baba

Dernière mise à jour : 2019-02-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mafarisayo walipoona hayo, wakawaambia wanafunzi wake, "mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?"

Anglais

and when the pharisees saw it, they said unto his disciples, why eateth your master with publicans and sinners?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

kama yasemavyo maandiko matakatifu: "ni vigumu kwa watu waadilifu kuokolewa; itakuwaje basi kwa wasiomcha mungu na wenye dhambi?"

Anglais

and if the righteous scarcely be saved, where shall the ungodly and the sinner appear?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

"na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda ninyi, je, mtapata tuzo gani? hakuna! kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.

Anglais

for if ye love them which love you, what thank have ye? for sinners also love those that love them.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

mafarisayo na walimu wa sheria wakawanung'unikia wafuasi wake wakisema: "mbona mnakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?"

Anglais

but their scribes and pharisees murmured against his disciples, saying, why do ye eat and drink with publicans and sinners?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

yesu alipowasikia, akawaambia, "watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. sikuja kuwaita watu wema, ila wenye dhambi."

Anglais

when jesus heard it, he saith unto them, they that are whole have no need of the physician, but they that are sick: i came not to call the righteous, but sinners to repentance.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

baadaye, yesu alikuwa amekaa mezani, nyumbani kwa lawi, kula chakula. watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuwa wamemfuata yesu na wengi wao wakawa wamekaa mezani pamoja naye na wanafunzi wake.

Anglais

and it came to pass, that, as jesus sat at meat in his house, many publicans and sinners sat also together with jesus and his disciples: for there were many, and they followed him.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

sasa, ikiwa katika kutafuta kukubaliwa kuwa waadilifu kwa kuungana na kristo sisi tunaonekana kuwa wenye dhambi, je, jambo hili lina maana kwamba kristo anasaidia utendaji wa dhambi? hata kidogo!

Anglais

but if, while we seek to be justified by christ, we ourselves also are found sinners, is therefore christ the minister of sin? god forbid.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kisha akawaendea wale wanafunzi, akawaambia, "je, mngali mmelala na kupumzika? tazameni! saa yenyewe imefika, na mwana wa mtu atatolewa kwa watu wenye dhambi.

Anglais

then cometh he to his disciples, and saith unto them, sleep on now, and take your rest: behold, the hour is at hand, and the son of man is betrayed into the hands of sinners.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

basi, baadhi ya walimu wa sheria ambao walikuwa mafarisayo walipomwona yesu akila pamoja na watu wenye dhambi na watoza ushuru, wakawauliza wanafunzi wake, "kwa nini anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?"

Anglais

and when the scribes and pharisees saw him eat with publicans and sinners, they said unto his disciples, how is it that he eateth and drinketh with publicans and sinners?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

lakini tunapaswa kukumbuka kwamba sheria haziwekwi kwa ajili ya watu wema, bali kwa ajili ya wahalifu na wasiotii, wasiomcha mungu na wenye dhambi, watu wasio na dini na wa kidunia. watu wanaowaua baba na mama zao, au wauaji wowote wale;

Anglais

knowing this, that the law is not made for a righteous man, but for the lawless and disobedient, for the ungodly and for sinners, for unholy and profane, for murderers of fathers and murderers of mothers, for manslayers,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mtawazuia wawili hao baada ya sala na waape kwa mwenyezi mungu, mkitilia shaka, wakisema: hatutopokea thamani yoyote kwa haya hata kwa ajili ya jamaa; na wala hatutaficha ushahidi wa mwenyezi mungu; hakika hapo tutakuwa miongoni mwa wenye dhambi.

Anglais

and we will not conceal the testimony of god. if we did, we would indeed be guilty of sin."

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

na mnapo kuwa safarini, na msiba wa mauti ukakusibuni, basi washuhudie wengineo wawili wasio kuwa katika nyinyi. mtawazuia wawili hao baada ya sala na waape kwa mwenyezi mungu, mkitilia shaka, wakisema: hatutopokea thamani yoyote kwa haya hata kwa ajili ya jamaa; na wala hatutaficha ushahidi wa mwenyezi mungu; hakika hapo tutakuwa miongoni mwa wenye dhambi.

Anglais

o you who believe! call to witness between you when death draws nigh to one of you, at the time of making the will, two just persons from among you, or two others from among others than you, if you are travelling in the land and the calamity of death befalls you; the two (witnesses) you should detain after the prayer; then if you doubt (them), they shall both swear by allah, (saying): we will not take for it a price, though there be a relative, and we will not hide the testimony of allah for then certainly we should be among the sinners.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,778,313,706 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK