Vous avez cherché: kukabiliana (Swahili - Arabe)

Swahili

Traduction

kukabiliana

Traduction

Arabe

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Arabe

Infos

Swahili

wanajitahidi kwa kadiri wawezavyo kukabiliana na hali ya hewa ya baridi kali.

Arabe

يحاولون جاهدين محاربة المناخ البارد.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kwa maneno mengine, inakusudia kukabiliana kile kinachoifahamika kuwa kukua kwa ubaguzi dhidi ya wakimbizi wa syria wanaoishi lebanoni.

Arabe

بعبارة أخرى، تهدف الحملة لمعالجة ما ينظر إليه على أنه تمييز متزايد ضد اللاجئين السوريين الذين يعيشون في لبنان.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mara nyingi huwa napenda kuimba kama namna ya kukabiliana na kusahau hisia za maumivu na uchovu niliokuwa nikiupata katika mashamba makubwa.

Arabe

وعادة ما أغني لكي أستطيع تحمل الشعور بالألم ونسيان تعب العمل في المزارع.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

wakati hali ya utoaji wa huduma za afya inazidi kuzorota, hadi sasa hakuna hatua zozote zilizokwisha kuchukuliwa ili kukabiliana na tatizo hili.

Arabe

سجل الصحة مروع، لكن لا يوجد نقص في المبادرات الهادفة إلى تغيير الوضع.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

huko toliara, kusini mwa madagaska, mradi wa chakula cha mchana mashuleni unasaidia katika kukabiliana na matatizo yaliyokithiri ya utapia mlo.

Arabe

في توليارا بجنوب مدغشقر، يساعد مشروع الغذاء المدرسي على محاربة مشاكل سوء التغذية المزمن.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

wakati watu wengine wakihoji kuhusu utayari wa moscow wa kukabiliana na isis nchini syria, harakati za urusi dhidi ya kikundi katili cha isis nchini humo ni dhahiri kabisa.

Arabe

من جهة أخرى، يشكّ البعض في التزام موسكو بهزيمة داعش في سوريا بيد أنّه ما من شكوك حيال حملة روسيا ضدّ المجموعات المتطرّفة داخليًا.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

katika barua ya wazi aliyoandikiwa waziri mkuu, malgache kolo roger, asasi ya lcdmf ilisisitiza umuhimu wa kukabiliana na tatizo hili na hususani katika maeneo yaliyosahaulika na yasiyo na mifumo ya kisasa ya utoaji wa huduma ya afya:

Arabe

في رسالة مفتوحة إلى رئيس الوزراء مدغشقر كولو روجر، أكدت منظمة lcdmf على أهمية علاج هذه المشكلة، وخاصة في المناطق المعزولة بدون مرافق صحية حديثة:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

anasema nyimbo hizo tulivu zinawasaidia wazazi "kukabiliana na hali ya kusumbuka na watoto, au wanapojikuta hawawezi kuwafanya walale, au hata katika nyakati ambazo wao wenyewe wamechoka."

Arabe

تقول، إن التهويدات تساعد الآباء والأمهات على التعامل مع الإجهاد الناتج عن فشلهم في حث صغارهم على النوم.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

mapema juma lililopita, wakati wa uzinduzi wa mkutano juu ya chanjo ya ukimwi ya kimataifa ya 2008 (international aids vaccine 2008) huko cape town, hogan, alitangaza hadharani kwamba vvu husababisha ukimwi na kwamba ni lazima kukabiliana nao kwa kutumia dawa za hospitalini. pia alieleza kwamba serikali ilikuwa na nia ya dhati kuongeza nguvu katika programu za kuzuia uambukizaji wa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, dawa zinazozuia akina mama wajawazito wenye vvu kuwapatia watoto wao ambao hawajazaliwa maambukizo na kueleza kwamba chango madhubuti ya vvu ilikuwa ikihitajika mno.

Arabe

وقالت هوغان بشكل علني في وقت سابق من هذا الأسبوع في افتتاح مؤتمر لقاح الإيدز 2008 في كيب تاون أن فيروس نقص المناعة البشرية يسبب مرض الإيدز ويجب علاجه باستخدام الطب التقليدي، وأضافت قائلة أن الحكومة ملتزمة بالعمل على زيادة برامج منع انتقال الفيروس من الأم إلى الجنين، وأكدت على الحاجة الملحة لتطوير لقاح فعال لللإيدز.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,953,409,491 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK