Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha lazaro.
وكان يسوع يقول عن موته. وهم ظنوا انه يقول عن رقاد النوم.
Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
walidhani alikuwa pamoja na kundi la wasafiri, wakaenda mwendo wa kutwa, halafu wakaanza kumtafuta miongoni mwa jamaa na marafiki.
واذ ظناه بين الرفقة ذهبا مسيرة يوم وكانا يطلبانه بين الاقرباء والمعارف.
Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
basi, wayahudi waliokuwa nyumbani pamoja na maria wakimfariji walipomwona ameinuka na kutoka nje ghafla, walimfuata. walidhani alikuwa anakwenda kaburini kuomboleza.
ثم ان اليهود الذين كانوا معها في البيت يعزونها لما رأوا مريم قامت عاجلا وخرجت تبعوها قائلين انها تذهب الى القبر لتبكي هناك.
Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwa kuwa yuda alikuwa na wajibu wa kuutunza mfuko wa fedha, baadhi yao walidhani kwamba yesu alikuwa amemwambia anunue vilivyohitajiwa kwa sikukuu, au kwamba alikuwa amemwambia akatoe chochote kwa maskini.
لان قوما اذ كان الصندوق مع يهوذا ظنوا ان يسوع قال له اشتر ما نحتاج اليه للعيد. او ان يعطي شيئا للفقراء
Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
wakati watu walipokuwa bado wanasikiliza hayo, yesu akawaambia mfano. (hapo alikuwa anakaribia yerusalemu, na watu wale walidhani kwamba muda si muda, ufalme wa mungu ungefika.)
واذ كانوا يسمعون هذا عاد فقال مثلا لانه كان قريبا من اورشليم وكانوا يظنون ان ملكوت الله عتيد ان يظهر في الحال.
Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :