Vous avez cherché: imetengenezwa (Swahili - Espagnol)

Swahili

Traduction

imetengenezwa

Traduction

Espagnol

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Espagnol

Infos

Swahili

imetengenezwa na hugh d'andrade, na kuchanganywa na hisham almiraat.

Espagnol

creada por hugh d'andrade, remezclada por hisham almiraat.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

filamu hiyo imetengenezwa na mtayarishaji huru wa filamu wa kiingereza, ross harrison

Espagnol

el cortometraje fue realizado por el cineasta ross harrison.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

nilizoea kununua nguo zenye kibandiko “imetengenezwa bangladesh” kwa kujivunia.

Espagnol

yo solía comprar "hecho en bangladesh" con orgullo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

nchini afrika kusini, nyenzo mpya yenye mwelekeo wa kiuchumi imetengenezwa kwa kusudi hili hili.

Espagnol

en sudáfrica se ha creado exactamente para este propósito una nueva herramienta orientada hacia la economía.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

katika kujiandaa na matarajio ya kukatiwa mtandao, huduma ya kutwiti kwa kuongea maneno imetengenezwa.

Espagnol

en preparación para el previsto apagón, se estableció un servicio speak to tweet .

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

blogu ya tumblr iitwayo'nilifanya uamuzi...' imetengenezwa kwa ajili ya kuweka mitazamo mbalimbali kuhusu maoni ya mhe.

Espagnol

el blog en tumblr "when i made the decision" fue armado para compartir estas versiones del comentario de fu.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

blogu yenye jina la madhara kwa raia wakati wa mapambano mjini gaza na kusini mwa israeli imetengenezwa na asaasi za haki za kibinaadamu za kiisraeli ili kuorodhesha matukio ambayo hayaandikwi na vyombo vikubwa vya habari.

Espagnol

grupos israelíes de derechos humanos han iniciado un blog llamado daño a los civiles durante la lucha en gaza y el sur de israel para documentar acontecimientos que los medios no están cubriendo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

na ile milango kumi na miwili ilikuwa lulu kumi na mbili; kila mlango ulikuwa umetengenezwa kwa lulu moja. barabara kuu ya mji ilikuwa imetengenezwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo.

Espagnol

las doce puertas eran doce perlas; cada puerta fue hecha de una sola perla. la plaza era de oro puro como vidrio transparente

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kutangazwa kwa taarifa hiyo kwenye redio ilidai kwamba bikra hiyo bandia ilikuwa imetengenezwa maalumu kwa ajili ya wanawake wa kiarabu na waislamu ikipuuza ukweli kwamba bidhaa hiyo imekuwapo japan tangu mwaka 1993 na haikuwa imetengenezwa maalumu na wachina waliogundua ugonjwa wa akili wa wanawake wa kiarabu wanaohitaji kudanganya kuhusu ubikra wao.

Espagnol

la información que transmitió la radio decía que el hímen falso se fabrica preferentemente para mujeres árabes y musulmanas, ignorando el hecho que el producto existe en el mercado desde el año 1993 y no fue producido especialmente por los chinos quienes se dieron cuenta de la esquizofrénica condición de las mujeres árabes que deben fingir su virginidad.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

nilipokuwa nataka kutoka ndani, mara niliona meza ya kujipodolea ikitikisika, makabati ya jikoni yakitetemeka huku vitu vilivyo ndani vikidondoka chini, wakati huohuo nyumba ilikuwa ikichezacheza utadhani imetengenezwa kwa kitu laini mfano wa mafuta ya mgando.

Espagnol

al salir, vi que nuestro tocador se movía, los gabinetes de la cocina se sacudían y escupían toda clase de latas, y la casa se movía como si estuviera hecha de gelatina.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

akaunti ya twita iliyogundua matumizi ya mtandao wa intaneti yaliyofanywa na vgtrk, @rugovedits, imetengenezwa na zana (bot) nyingine, @congressedits, ambayo hufuatilia uhariri unaofanywa na wikipedia kutoka kwenye kompyuta za bunge la marekani. alama maalum ya congressedits, ilitengenezwa na mtaalam wa program za kompyuta ed summers, na ni zana huria inayoweza kurekebishwa kirahisi ili kuwezesha kufuatilia utambulisho wowote wa kompyuta.

Espagnol

asimismo, la cuenta de twitter @rugovedits, la misma que descubrió la actividad de la vgtrk en internet, está modelada en otro bot (@congressedits) que, también, hace seguimiento de todos los cambios en wikipedia que se hacen desde el congreso de los ee.uu. el código de congressedits fue creado por el programador ed summers y es un software de código abierto que puede ser configurado fácilmente para rastrear cambios anónimos desde cualquier dirección ip.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,941,571,189 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK