Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
yesu aliwaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa uwezo wa kutoa pepo wachafu na kuponya magonjwa na maradhi yote.
et convocatis duodecim discipulis suis dedit illis potestatem spirituum inmundorum ut eicerent eos et curarent omnem languorem et omnem infirmitate
basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. baba abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka vitani.
intuemini autem quantus sit hic cui et decimam dedit de praecipuis abraham patriarch
kuta za mji huo zilikuwa zimejengwa juu ya mawe ya msingi kumi na mawili, na juu ya mawe hayo yalikuwa yameandikwa majina na mitume kumi na wawili wa mwanakondoo.
et murus civitatis habens fundamenta duodecim et in ipsis duodecim nomina duodecim apostolorum agn
usiku wa siku ya kumi na nne, tulikuwa tunakokotwa huku na huku katika bahari ya adria. karibu na usiku wa manane wanamaji walijihisi kuwa karibu na nchi kavu.
sed posteaquam quartadecima nox supervenit navigantibus nobis in hadria circa mediam noctem suspicabantur nautae apparere sibi aliquam regione
pembe zile kumi ulizoziona na yule mnyama watamchukia huyo mzinzi. watachukua kila kitu alicho nacho na kumwacha uchi; watakula nyama yake na kumteketeza kwa moto.
et decem cornua quae vidisti et bestiam hii odient fornicariam et desolatam facient illam et nudam et carnes eius manducabunt et ipsam igni concremabun
kabila la simeoni, kumi na mbili elfu, kabila la lawi, kumi na mbili elfu, kabila la isakari, kumi na mbili elfu;
ex tribu symeon duodecim milia ex tribu levi duodecim milia ex tribu issachar duodecim mili