Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
اشبع الجياع خيرات وصرف الاغنياء فارغين.
wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaacha waende mikono mitupu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
وتطلع فرأى الاغنياء يلقون قرابينهم في الخزانة.
yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu,
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ولكن ويل لكم ايها الاغنياء. لانكم قد نلتم عزاءكم.
lakini ole wenu ninyi mlio matajiri, maana mmekwisha pata faraja yenu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
هلم الآن ايها الاغنياء ابكوا مولولين على شقاوتكم القادمة.
na sasa sikilizeni enyi matajiri! lieni na kuomboleza kwa sababu ya taabu zitakazowajieni.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
واما انتم فاهنتم الفقير. أليس الاغنياء يتسلطون عليكم وهم يجرّونكم الى المحاكم.
lakini ninyi mnawadharau watu maskini! je, matajiri si ndio wanaowakandamizeni na kuwapeleka mahakamani?
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
اوص الاغنياء في الدهر الحاضر ان لا يستكبروا ولا يلقوا رجاءهم على غير يقينية الغنى بل على الله الحي الذي يمنحنا كل شيء بغنى للتمتع.
waamuru watu walio matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu vyote tuvifurahie.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
اسمعوا يا اخوتي الاحباء أما اختار الله فقراء هذا العالم اغنياء في الايمان وورثة الملكوت الذي وعد به الذين يحبونه.
ndugu zangu wapenzi, sikilizeni! mungu amechagua watu ambao ni maskini katika ulimwengu huu ili wapate kuwa matajiri katika imani na kupokea utawala aliowaahidia wale wanaompenda.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: