Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
jer jedan je bog, jedan je i posrednik izmeðu boga i ljudi, èovjek - krist isus,
maana yuko mungu mmoja, na pia yuko mmoja anayewapatanisha watu na mungu, binadamu kristo yesu,
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ovako mu pak dopalo uzvienije bogosluenje koliko je posrednik boljega saveza, koji je uzakonjen na boljim obeæanjima.
lakini sasa yesu amepewa huduma ya kikuhani iliyo bora zaidi kuliko yao, kama vile agano alilothibitisha kati ya watu na mungu ni bora zaidi, kwani lina msingi wake katika ahadi za mambo yaliyo bora zaidi.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
a radi ovoga je posrednik novoga saveza: da po smrti za otkupljenje prekraja iz starog saveza pozvani zadobiju obeæanu vjeènu batinu.
kwa hiyo, kristo ndiye aliyeratibisha agano jipya ili wale walioitwa na mungu wazipokee baraka za milele walizoahidiwa. watazipata, kwani kifo kimetokea ambacho huwakomboa watu kutoka yale makosa waliyofanya wakati wa lile agano la kale.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: