Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
des améliorations cliniques ont été observées chez des patients traités avec le remdésivir à usage compassionnel.
maendeleo ya kliniki yalionekana kwa wagonjwa waliotibiwa na matumizi ya remdesivir.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
de nombreuses améliorations sont attendues en ouganda dans le domaine de la santé : un service de livraison plus rapide, plus fréquent, des fonds plus importants, plus de centres de santé, de meilleurs salaires pour le personnel, et un approvisionnement d’équipement pour les centres.
kuna mambo mengi yanayopaswa kutimizwa ili kuimaridha huduma za afya nchini uganda, ambayo ni: usambazaji wa dawa wa haraka na wa mara kwa mara, sekta ya afya kutengewa fedha za zaidi, vituo vingi zaidi vya afya, mishahara ya kutosha ya wafanyakazi katika sekta ya afya, pamoja na upatikanaji wa vitendea kazi vya kutosha katika vituo vya afya.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: