Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
réflexions des partisans de chavez
wafuasi wa chávez wakitathmini
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
les chemises jaunes sont des partisans du gouvernement.
mashati ya njano ni kundi linaloiunga mkono serikali.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tous les internautes ne sont pas partisans de cette campagne.
lakini raia wengine wa mtandaoni hawaiungi mkono kampeni hiyo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
alors que beaucoup jubilent, les partisans du bjp sont moroses.
wakati kuna chereko chereko sehemu mbalimbali, pia kuna masikitiko kati ya wanaokiunga mkono chama cha bjp.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tous les partisans de pakatan rakyat soutiennent zaid ibrahim en tout cas.
mashabiki wote wa pakatan rakyat wanamuunga mkono zaid ibrahim.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
voici quelques exemples de commentaires partisans du viol en asie du sud :
hapa ni baadhi ya mitazamo ya utetezi wa wazi wazi wa ubakaji asia kusini:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
il a demandé à ses partisans de marcher sur le palais présidentiel à ambohitsorohitra.
aliwataka watu wanaomuunga mkono waandamane kuelekea ikulu iliyopo ambohitsorohitra.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
deux candidats réformateurs et leurs partisans affirment que des fraudes électorales ont eu lieu.
washindani wawili wanamageuzi pamoja na mashabiki wao wanasisitiza kwamba palitokea udanganyifu.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
partisans du président hugo chavez le jour de l'élection présidentielle le 7 octobre 2012.
wafuasi wa rais hugo chavez wakati uchaguzi wa rais tarehe 7 oktoba, 2012.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
8 heures du matin devant le parlement déploiement de la police militaire pour arrêter les partisans de yl.
saa 2 asubuhi mbele ya bunge kulikuwa na idadi kubwa ya wanajeshi na polisi kuwadhibiti wapinzani.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
il analyse également la distance qui se resserre entre les partisans du gouvernement et ceux de l'opposition :
anachambua pia kupungua kwa tofauti ya kura baina ya wafuasi wa serikali na wale wa upinzani:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
la manière dont m. mills saura gérer les aspirations de ses propres partisans et des ghanéens en général sera la solution de ces problèmes.
namna mills anavyodhibiti nia za mashabiki wake na waghana kwa ujumla ni utatuzi wa matatizo haya.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
le 27 août, ally zona a été tué à morogoro alors que la police dispersait des partisans de chadema qui s’apprêtaient à manifester.
awali, agosti 27, kijana muuza magazeti ally zona aliuawa mjini morogoro wakati polisi walipokuwa wakiwatawanya wafuasi wa chadema waliokuwa wakijiandaa kufanya maandamano.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
a propos de l'objectivité de cnn montrant les affrontements provoqués par les partisans des frères musulmans, may kamel a précisé :
kuhusu kutokupendelea kwa cnn wakati wa kutangaza mapigano yaliyoanzishw ana wafuasi wa mb, may kamel aligusia:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
antonio aponte, du blog un grano de maíz félicite les partisans de chavez pour la victoire, cependant son regard se tourne aussi vers les futurs défis de la révolution bolivarienne.
antonio aponte, wa blogu ya un grano de maíz , anawapongeza wafuasi wenzake wa chávez kwa ushindi huo, lakini vile vile anatazama changamoto za mbeleni zinazoyakabili mapinduzi ya venezuela.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
la mauvaise presse qu'il reçoit semble attiser les flammes de ses partisans et il est devenu une sorte de "sauveur" pour beaucoup.
sifa mbaya aliyopata kwenye vyombo vya habari inaelekea kuwasha moto kwa wafuasi wake na amekuwa kana kwamba ‘mwokozi’ kwa wengi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
le 24 mars, l'egypte a condamné 529 partisans des frères musulmans à mort, pour leur rôle dans les violentes émeutes de minya, en haute egypte, en août dernier.
leo, imewahukumu kifo wafuasi 529 wa chama cha muslim brotherhood kwa kuhusika na vitendo vya ghasia huko minya, kaskazini mwa misri, mwezi agosti mwaka jana.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
le très attendu affrontement entre partisans des frères musulmans et révolutionnaires qui avaient appelé à la destitution de l'ex-président égyptien mohamed morsi a eu lieu aujourd'hui .
mapambano yaliyotarajiwa kati ya wafuasi wa muslim brotherhood na waandamanaji waliotaka rais wa zamani wa misri mohamed morsi aondoke yametokea leo .
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
après tout les militants du npp (qui ne savait pas que masloc et leap étaient faits pour ses partisans ?) se sont plaints que le président kuofuor n'en avait pas assez fait pour eux.
baada ya yale yote npp waliyofanya (nani hakujua kuwa msloc na leap walikuwa kwa ajili ya maslahi ya wafuasi wa chama fulani?) wanjeshi wao wa nchi kavu walilalamika kwamba kufuor hakuwatendea vya kutosha.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
après l'assaut contre la manifestation pro-morsi qui a fait plus de 600 morts, les partisans de morsi se sont rassemblés après la prière pour mettre à sac et incendier deux églises et quelques magasins appartenant à des chrétiens, dans le village de mallawi.
baada ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa morsy ambapo zaidi ya watu 600 walifariki, wafuasi wa morsy walikusanyika baada ya swala ya ijumaa wakavamia na kuchoma makanisa mawili, na baadhi ya maduka yanayomilikiwa na wakristo katika kijiji cha mallawi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: