Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
south africa: on the murder of the leader of afrikaner resistance movement · global voices
south africa: mauaji ya kiongozi wa afrikaner resistance movement
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
overall, one of south africa's leading figures of the "afrikaner resistance" movement has been put to rest in violent circumstances.
kwa ujumla wake ni kwamba, mmoja kati ya viongozi wa watetezi wa wazungu wa afrika kusini ameuawa kikatili.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
for those who don’t know, the voortrekkers is like the boy scouts, but it celebrates the heritage of the afrikaner nation who moved from the coastal regions inland toward what is now known as the freestate, gauteng, mpumalanga and limpopo.
na kwa wale wasiofahamu, voortrekkers ni sawa na chama cha maskauti, lakini wao wanasherehekea urithi wa taifa la makaburu (afrikaner) ambao walisafiri kutokea sehemu za pwani kuelekea ndani kwenye sehemu inayojulikana hivi sasa kama freestate, gauteng, mpumalanga na limpopo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: