Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
chinese allegedly mine gold illegally in ghana · global voices
china yadaiwa kuchimba dhahabu kinyume cha sheria nchini ghana
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the leader of the party was allegedly arrested following the protests.
kiongozi wa chama hiko alidaiwa kukamatwa kufuatia maandamano hayo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
eugene terre blanche died a violent death allegedly at the hands of his farm hands.
eugene terre blanche amekufa kifo kibaya na inadaiwa kuwa aliuawa na mikono ya vibarua wa shambani kwake.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
a screen shot of a page which used to allegedly sell syrian antiques on facebook is no longer available
picha ya ukurasa huo unaodaiwa kuuza sarafu za kisyria kwenye mtandao wa facebook ambao kwa sasa haupatikani
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
debate has flared up about maps allegedly taken by the british after sudan became independent in 1956.
joseph edward anazungumzia kupotea kwa ramani za mpaka wa sudan kusini za enzi za ukoloni: "majadiliano yameibuka kuhusu ramani ambazo zilidaiwa kuchukuliwa na waingereza baada ya sudan kupata uhuru mnamo mwaka wa 1956.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
asiwaju bola ahmed tinubu (allegedly) starts first nation, no negative uproar.
asiwaju bola ahmed tinubu (anadaiwa) kuanzisha taifa la kwanza, na hatusikii kelele.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
there is also a challenge of shortage of doctors, some of whom allegedly steal medicine for their private clinics.
pia kuna changamoto ya upungufu wa madaktari, baadhi yao wakituhumiwa kuiba dawa kinyemela kwa ajili ya kliniki zao binafsi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nominated senator, mbura allegedly asked women in the coastal region to go topless so that more tourists can visit the region.
seneta mteule, mbura anasemekana kuwaomba wanawake katika mkoa wa pwani kutembea nusu uchi ili kuwavutia watalii zaidi kuzuru eneo hilo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
among those jailed are two swedish journalists who are serving an 11-year sentence for allegedly supporting an ethnic somali rebel group.
katika waliofungwa ni pamoja waandishi wawili wa sweden wanaotumikia kifungo cha miaka 11 kwa kudaiwa kukisaidia kikundi cha waasi wa kabila cha kisomali.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tchadanthopus adds that his other son zackaria idriss deby was allegedly offered to be vice-president with executive power when his father is out of the country.
tchadanthopus anaongeza kuwa mwanae mwingine zackaria idriss deby alisemekana kukabidhiwa umakamu wa rais nafasi ambayo inampa madaraka yote wakati baba yake anapokuwa nje ya nchi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
alaa was slapped a five year prison sentence for allegedly taking part in a protest and “assaulting a policeman and stealing his walkie talkie.”
alaa alihukumiwa kifungo cha miaka mitano kwa kudaiwa kushiriki maandamano na "kumtukana polisi na kumwibia redio ya upepo".
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
allegedly, irfan ali khudi, 33, had come to quetta so that he could “deliver peace training to young activist”.
kama inavyodaiwa, irfan ali khudi mwenye umri wa miaka 33, alifika quetta ili aweze “kutoa mafunzo kwa wanaharakati wanaochipukia”.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lópez, the leader of the voluntad popular party, had an arrest warrant that was issued against him by a court in caracas for allegedly being responsible for crimes related to the protests taking place in venezuela.
lópez, kiongozi wa chama cha voluntad popular, alitakiwa kujisalimisha kwa agizo la mahakama jijini caracas kwa kutuhumiwa kuhusika na makosa ya jinai yanayohusiana na maandamano yanayoendelea nchini venezuela.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
after coming home on vacation, gulsumoi abdujalilova, a 32-year-old university student in germany, was allegedly interrogated by police for four days.
baada ya kurudi nyumbani kutoka mapumzikoni, gulsumoi abdujalilova, mwenye umri wa miaka 32 mwanafunzi wa chuo kikuu nchini ujerumani, inasemekana alihojiwa na polisi kwa muda wa siku nne.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the three-minute video allegedly shows the beheading of steven sotloff, whose work in hotspots across the middle east has taken him to bahrain, syria, egypt, libya and turkey.
video hii ya dakika tatu inadaiwa kuonesha kukatwa kichwa kwa steven sotloff, ambaye amekuwa akifanya kazi sehemu hatari katika maeneo mbalimbali ya mashariki ya kati kama vile bahrain, syria, egypt, libya na uturuki.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
abdujalilova’s relatives (according to her facebook profile she is married, and human rights alliance mentioned abdujalilova’s sister who allegedly found her suicide note) have also kept silent.
ndugu zake abdujalilova (kwa mujibu wa maelezo yake ya utambulisho kwenye facebook ameolewa, na asasi ya haki za binadamu imemtaja dada yake abdujalilova ambaye ndiye aliyeuona ujumbe wa kujiua ulioachwa na mdogo wake) nae pia amekaa kimya.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: