Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
another initiative is the windows for peace project, which started back in 1991 as an effort to produce a bilingual and bicultural magazine for youth as a way for them to connect and learn about the conflict, promote equality and empower youth.
mradi mwingine ni dirisha la amani, ambao ulianza tangu mwaka 1991 kama jitihada za kutengeneza jarida la lugha na tamaduni mbili kwa ajili ya vijana kama njia ya kuwawezesha kuungana na kujifunza juu ya mgogoro, kutangaza usawa na kuwawezesha vijana.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
sudan votes, a bilingual web site sponsored by german organization media in cooperation and transition along with sudanese organizations teeba press and the association of inter-media, hopes to "enhance the quality of media coverage on the elections" and "promote a better understanding across language barriers."
sudani inapiga kura, tovuti ya lugha mbili inayodhaminiwa na shirika la kijerumani media in cooperation and transition pamoja na mashirika ya sudani teeba press pamoja na jumuiya ya vyombo vya habari, vinatarajia “kuboresha viwango vya habari za uchaguzi” na “kuhamasisha uelewano mzuri palipo na vikwazo vya lugha.”
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta