Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
masai can play casualties
kulicheza
Ultimo aggiornamento 2019-02-12
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
bbc and afp only reported 5 casualties so far.
bbc na afp viliripoti vifo 5 tu.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
its three building away from me; there are casualties!
ni majengo matatu kutoka hapa nilipo; kuna majeruhi!
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
a bomb exploded at moscow's domodedovo airport, at least ten casualties reported.
bomu lililipuka katika kiwanja cha ndege cha domodedovo mjini moscow, kwa uchache vifo vya kadri ya watu kumi vimeripotiwa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
apparently no casualties were reported but it rattled the affected people of dhaka, a populous mega city.
hapakuwa na majeruhi walioripotiwa lakini (tetemeko) lilitikisa na kuwaathiri watu wa jiji kubwa lenye wakazi wengi la dhaka.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
in retaliation, palestinian resistance groups in the gaza strip fired rockets into israel, with no casualties.
israel ilijibu mapigo kwa mashambulizi makali ya angani yaliyoilenga gaza na kuacha maiti wapatao kumi na wawili kwa mara moja.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
among the casualties, is said to be a cameraman from the rta tv station (official confirmation still pending).
mooja wa majeruhi, inasemekana ni mpiga mpiga wa idhaa ya televisheni ya rta (uthibitisho rasmi bado unasubiriwa).
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
according to the latest official report, more than 2,000 have died but the casualties could be higher because many dead bodies have yet to be retrieved.
kwa mujibu wa ripoti rasmi za hivi karibuni, zaidi ya watu 2,000 wamefariki lakini majeruhi wanaweza kuwa zaidi kwa sababu maiti mingi bado haijapatikana.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
despite the progress made by the country since the ousting of the taliban in 2001, most media writing about afghanistan focus stubbornly on negative issues such as bomb blasts, suicide attacks, and casualties.
pamoja na hatua za mafanikio zilizofikiwa na nchi hiyo tangu kuondolewa kwa wa-taliban mwaka 2001, vyombo vingi vya habari vinavyoandika habari za afghanistan kwa ujeuri tu vimejikita katika masuala hasi kama vile milipuko ya mabomu, mashambulizi ya kujitoa muhanga na kujeruhiwa kwa watu.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
as the un launchs its peace keeping mission with the arrival of 1,500 troops in the central african republic (car), a few observers were wondering why it took so long given the extent of the casualties.
wakati umoja wa mataifa ukizindua mpango wake wa kulinda amani kwa kutuma wanajeshi 1,500 nchini jamhuri ya afrika ya kati, wafuatiliaji wachache wanajiuliza ni kwa nini uamuzi huu ulichukua muda mrefu pamoja na kuwepo kwa wahanga wengi wa machafuko.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
casualty
aliye jeruwia kwenye vita
Ultimo aggiornamento 2017-01-15
Frequenza di utilizzo: 2
Qualità:
Riferimento: