Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
china censors chemical plant protest · global voices
china yadhibiti habari za maandamano yakupinga kujenga kiwanda cha kemikali
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
but behind the glamorous facades and big paychecks, it's not all fun and romance until south korea's censors have done their work.
lakini nyuma ya hali hii inayoonekana kijuu juu kuwa ni kupendwa na malipo makubwa kadhalika, muziki huu hauwezi kuwa mzuri wala wa kuvutia mashabiki wake mpaka kwanza wakaguzi wa kazi za sanaa nchini korea kusini hawajakamilisha kazi yao.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
china's state media kept the news of the protest quiet, and online censors have aggressively deleted information and photos about the demonstration on popular microblogging site sina weibo since may 4, 2013.
vyombo vya habari vya serikali havikutangaza habari za maandamano hayo, na katika hali ya kushangaza wafuatiliaji wa mtandaoni wamefuta habari na picha zinazohusiana na maandamano hayo kwenye mtandao maarufu wa kijamii uitwao sina weibo tangu mei 4, 2013.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
an mp wants to censor the internet to appease the chinese relatives of missing malaysian plane mh370.
mbunge anataka kufuatilia matumizi ya mtandao ili kuwafurahisha ndugu wa wahanga wa ndege iliyopotea ya malaysia ya mh370.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: