Hai cercato la traduzione di crackdown da Inglese a Swahili

Inglese

Traduttore

crackdown

Traduttore

Swahili

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

spain: crackdown against students continues in valencia

Swahili

uhispania: mapambano makubwa dhidi ya wanafunzi yaendelea mjini valencia

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

this time,the crackdown started on the afternoon with unexpected force.

Swahili

wakati huu mapigano yalianza mchana kwa nguvu isiyotarajiwa.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

the opposition protests were met with a violent crackdown by security forces.

Swahili

maandamano hayo ya upinzani yalikabiliwa na matumizi ya nguvu kupita kiasi ya kuyavunja yaliyofanywa na vikosi vya usalama.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

bahrain is now in the third year of its crackdown on a popular uprising.

Swahili

bahrain mpaka sasa imeingia mwaka wa tatu wa ghasia zamapinduzi yaliyojipatia umaarufu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

they have promoted the idea of "foreign interference" and then abused it to crackdown

Swahili

wao ndio wanatangaza dhana ya "kuingiliwa na wageni" na kuitumia vibaya kukandamizaji

Ultimo aggiornamento 2023-11-07
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

19, 2014president yanukovych has made a statement blaming the opposition for the violence and police crackdown.

Swahili

19, 2014rais yanukovych ametoa kauli akiwalaumu wapinzani kwa vurugu na ghasia zilizoilazimu polisi kuingilia kati.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

so it came as a surprise that a catholic priest was also detained and then exported during last week's crackdown.

Swahili

kwa hiyo lilikuwa tukio la kushangaza kwamba padre mkatoliki alikamatwa na kisha kufukuziwa mbali na tukio la hivi karibuni la ushughulikiaji wanaoinjilisha.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

in addition, the police instructed the metro company to shut down the admiralty station in order to deploy more riot police to back up the crackdown.

Swahili

wakijibu ghasia zinazofaywa na polisi, shirikisho la vyama wa wanafunzi wa chuko kikuu lilitoa wito wa mgomo wa kuingia madarasani wiki hii.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

arab governments are keen in limiting their loss to those three dictators by conducting a massive crackdown on political dissent and an unprecedented killing spree against their revolting people.

Swahili

serikali za ki-arabu zimekuwa na jitihada ya kuhakikisha idadi ya madikteta waliong’olewa haizidi hao watatu, kwa kufanya ukandamizaji mkubwa dhidi ya upinzani wa kisiasa na vile vile kuendesha vitendo vya mauaji yasiyokubalika ya watu wao wenyewe wanaoonekana 'kuwaasi'.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

one of riyadh's main roads, king fahad road, was closed by police during rush hour to crackdown on the sit-in.

Swahili

moja ya barabara kuu za jiji la riyadh, barabara ya mfalme fahad, ilifungwa na polisi wakati wa pilika pilika nyingi ili kuweza kukabiliana na mikutano ya waandamanaji.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

bahrain awoke to a violent crackdown by police on demonstrators camped out at the country's iconic lulu (pearl) roundabout on wednesday.

Swahili

bahrain iliingia kwenye vurugu kubwa zilizoambatana na polisi kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji waliopiga kambi katika eneo muhimu la wazi linalohusudiwa sana liitwalo lulu jumatano iliyopita.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

many twitter users uploaded photos of the violent crackdown. @imrika1874 posted a photo capturing riot police pointing guns at peaceful protesters, who were raising their hands:

Swahili

watumiaji wa mtandao wa twita waliweka picha za tukio hilo la ghasia hizo. @imrika1874 aliweka picha ikimwonesha polisi akimwelekezea bunduki kwa waandamanaji, waliokuwa wamenyanyua mikono:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

at least 15 people – scholars, activists and relatives of the victims killed in the tiananmen crackdown – attended the gathering at a private home in beijing on may 3, 2014.

Swahili

watu wasiopungua 15 -wakiwemo wanazuoni, wanaharakati na jamaa wa wahanga waliouawa kwenye ghasia za tiananmen – walihudhuria mkutano huo kwenye nyumba ya mtu binafsi jijini beijing mnamo mei 3, 2014.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

but authorities began a widespread crackdown on the movement in early 2010, and mousavi and karroubi, both former presidential candidates, as well as mousavi's wife zahra rahnavard were placed under house arrest on 14 february 2011.

Swahili

hata hivyo, vyombo vya dola vilianza kupambana kwa nguvu na vuguvugu hili mapema mwaka 2010, na mousavi pamoja na karroubi, ambao wote ni wagombea wa urais, ikiwa ni pamoja na mke wa mousavi aitwaye zahra rahnavard ambao kwa pamoja waliwekwa chini ya ulinzi na kuzuiliwa kutoka nyumbani kuanzia februari 14, 2011.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

according to newspaper south china morning post, pu had been criminally detained by beijing police after attending a meeting to commemorate the 1989 crackdown on democracy as well as "explore its implications and consequences and call for an investigation into the truth of june 4.’’

Swahili

kwa mujibu wa gazeti la south china morning post, pu amekamatwa kama mhalifu na plisi wa beijing baada ya kuwa amehudhuria mkutano wa kuadhimisha kuminywa kwa demokrasia pamoja na "kurudusu maana na matokeo yake na kutoa wito wa uchunguzi wa kina kuhusu ukweli wa yaliyotokea siku ya juni 4.’’

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,642,002,743 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK