Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
definitely
siku moja, hakika tutakutana
Ultimo aggiornamento 2023-12-16
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the people are definitely the best.
watu wake ni wema sana.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
we would have definitely taken revenge from him.
bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
its definitely a tough juncture for pakistan with a lot at stake.
ama kwa hakika ni changamoto kubwa kwa taifa la pakistani na ambayo inaweza kuwa na matokeo mengi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
then, if we revert again, we shall definitely be wrongdoers."
na tufanyapo tena basi kweli sisi ni wenye kudhulumu.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
he also definitely makes the challenges of foreign reporting in somalia clear.
pia anaziweka wazi changamoto za upashaji habari wa kigeni.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
people who confuse this are definitely someone who never been in love, or be loved.
watu wanaochanganya mambo haya bila hakika hawajawahi kuwa katika mapenzi, au kupendwa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
indeed the thing which you are promised will definitely come to pass, and you cannot escape.
bila ya shaka hayo mnayo ahidiwa yatafika tu, wala nyinyi hamtaweza kuyaepuka.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
can definitely judge you on basis of this photograph, but i am not a judge of supreme court to pin my decision.
je! hakika ninaweza kukuhukumu kwa msingi wa picha hii, lakini mimi sio jaji wa mahakama kuu kushinikiza uamuzi wangu.
Ultimo aggiornamento 2021-05-07
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
i definitely understand the need to push the envelope, after all that desire has led to some of the most creative masterpieces and accomplishments of all time.
ninaelewa fika haja ya kusogeza mipaka, kwani shauku hiyo imepelekea kupatikana kwa ubunifu wa kazi za hali juu sana na mafanikio ya wakati wote.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
if you obey some of people given the book(s), they will definitely turn you into disbelievers after your having accepted faith.
mkiwat'ii baadhi ya walio pewa kitabu watakurudisheni kuwa makafiri baada ya imani yenu.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
i think abortion is a choice of every individual woman, her moral and ethical principles, and definitely not the mps, psychologists, public moralizers and so on.
ninafikiri kuwa, kutoa mimba ni chaguo la kila mwanamke kwa kuzingatia kanuni na taratibu zake za kimaadili, na kwa hakika kabisa, siyo swala la wabunge, wanasaikolojia, walimu wa maadili na wengineo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
"we were in bradford, which i think is one of the poorest cities and the largest concentrations of pakistani people in the uk, and there were definitely people in the audience who had an issue with it.
"kuna wakati tulikuwa bradford, ninakodhani ni moja wapo ya miji masikini zaidi na yenye watu wengi zaidi wenye asili ya pakistani nchini uingereza, na kulikuwa na watu kwenye hadhira yangu waliokerwa na onesho hilo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
the data shows that out of the 6,000 languages currently in existence, over 200 have died out over the last three generations, 538 are critically endangered, 502 severely endangered, 632 definitely endangered and 607 unsafe.
takwimu zinaonyesha kuwa kati ya lugha 6,000 zilizopo sasa, zaidi ya 200 zimetoweka katika vizazi vitatu vilivyopita, 38 ziko hatarini kabisa, 502 ziko hatarini sana, 632 ziko hatarini bila ya shaka na 607 haziko salama.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
#dearnyerere if you came back today, you would definitely get a heart attack and die once again if u saw what some leaders hv been doing — gladys shao (@gladyzshao) october 14, 2015
kama ungerudi leo lazima ungepata shinikizo la moyo na kufa kwa mara nyingine kama ungeona kile kinachofanywa na baadhi ya viongozi
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: