Hai cercato la traduzione di disabled da Inglese a Swahili

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

disabled

Swahili

baskeli za walemav

Ultimo aggiornamento 2020-12-31
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

6. episode 6 - problems faced by the disabled in our country

Swahili

6.sehemu ya 6 - matatizo yanayowakabili walemavu kwa katika jamii yetu

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

for the promotion, adoption and ratification of the united nations convention on disabled people.

Swahili

kwa kutangazwa, kupitishwa na kuridhiwa kwa mkataba wa umoja wa mataifa kuhusu haki za walemavu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

boeing must explain how all these means of tracking the plane can be disabled, can fail.

Swahili

boeing lazima waeleze inakuwaje njia zote za kuifuatilia mwenendo wa ndege hiyo ziweze kuzimwa.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

alms are for the poor who are restricted in the way of allah, disabled from going about in the land.

Swahili

nawapewe mafakiri walio zuilika katika njia za mwenyezi mungu, wasio weza kusafiri katika nchi kutafuta riziki.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

i would not like to fly in boeing aircraft unless boeing can explain how all its system can fail or be disabled.

Swahili

sitapenda tena kupanda ndege ya boeing mpaka waeleze kwa nini mifumo yake yote inaweza kuzima kienyeji au kushindwa kufanya kazi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

the workshop educated and trained the disabled so that they can in turn educate the public using tools such as twitter and facebook.

Swahili

warsha iliwaelimisha na kuwafunza vijana wenye ulemavu kuwafanya hatimaye waweze kuwafunza wananchi wengine namna ya kutumia zana kama twita na facebook.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

she then asks, "you have heard that before but what is your perception if you first meet a disabled person?"

Swahili

kisha anaendelea kwa kuuliza, "umeyasikia maneno hayo kabla lakini mtazamo wako ni upi unapokutana na mlemavu kwa mara ya kwanza?"

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

open society foundation and disability right initiative have formed an organization to cater specifically to the disabled african youth - african youth with disability network.

Swahili

open society foundation, shirika la uwazi katika jamii wakishirikiana na mpango wa haki za walemavu (disability right initiative, dri, wameungana kuunda shirika litakalowahudumia vijana wa ki-afrika wenye ulemavu - shirika litakaloitwa mtandao wa vijana wa ki-afrika wenye ulemavu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

daintowon pay-bayee, an ardent campaigner of people living with disability in liberia, remembers when she got disabled at the age of five.

Swahili

daintowon pay-bayee, mwanaharakati wa watu wanaoishi na ulemavu wa liberia, anakumbuka alivyopata ulemavu wake akiwa na umri wa miaka tano.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

not equal are the holders back among the believers, save those who are disabled, and the strivers in the way of allah with their- riches and their lives.

Swahili

hawawi sawa waumini wanao kaa tu wala hawanadharura, na wale wanao pigana katika njia ya mwenyezi mungu kwa mali yao na nafsi zao.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

the theme of the 2014 parade was ‘walk in queers’ shoes,’ featuring voices from marginalized lgbt communities such as physically disabled people, hiv-positive people and sex workers.

Swahili

maudhui ya matembezi ya mwaka 2014 yalikuwa ‘tembea kwa kutumia viatu ya (unaowaona) hawako kawaida,’ yakiakisi sauti za jamii za watu wa mapenzi ya jinsia moja, mashoga, wanaotengwa kama walemavu, watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na makahaba.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,746,549,855 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK