Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
and they both used to eat (earthly) food.
wote wawili walikuwa wakila chakula.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
or, have they taken earthly gods who revive the dead?
au wamepata miungu katika ardhi inayo fufua?
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
have they taken earthly gods who are such that they raise up the dead to life?
au wamepata miungu katika ardhi inayo fufua?
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
we have caused earthly things to seem attractive so that we can see who will excel in good deeds.
kwa hakika tumevifanya vilioko juu ya ardhi kuwa ni pambo lake ili tuwafanyie mtihani, ni nani kati yao wenye vitendo vizuri zaidi.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
had it been our will we would have raised with it, but he clung to this earthly life and succumbed to his fancies.
na tungelitaka tungeli mtukuza kwa hizo ishara, lakini yeye aliushikilia ulimwengu na akafuata pumbao lake.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
and only he is the god of the heavenly creation and the god of the earthly creation; and he only is the wise, the all knowing.
na yeye ndiye mungu mbinguni, na ndiye mungu katika ardhi. naye ndiye mwenye hikima, mwenye ujuzi.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
but they are succeeded by a generation who neglect their devotional obligations and follow only earthly pleasures; but they will reach the wrong road and meet destruction,
lakini wakaja baada yao walio wabaya, wakaacha sala, na wakafuata matamanio. basi watakuja kuta malipo ya ubaya.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
for we know that if our earthly house of this tabernacle were dissolved, we have a building of god, an house not made with hands, eternal in the heavens.
maana tunajua kwamba hema hii ambayo ndani yake tunaishi sasa hapa duniani, yaani mwili wetu, itakapong'olewa, mungu atatupa makao mengine mbinguni, nyumba ya milele isiyotengenezwa kwa mikono.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
had we wanted, we could have raised him to an exalted position but he clung to his earthly life and followed his own (evil) desires.
na tungelitaka tungeli mtukuza kwa hizo ishara, lakini yeye aliushikilia ulimwengu na akafuata pumbao lake.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
and remind them when allah closed the promises and those who were given the book he told them that you will reveal it to the people and you will not hide it but they threw it behind their backs and they put less earthly possessions than they were commanded to follow in that book then what is wrong with their indulgence there.
na wakumbushe mwenyezi mungu alipofunga ahadi na wale waliopewa kitabu akawaambia lamzima mtakibainisha kwa watu wala hamtaficha lakini walikitupa nyuma ya migongo yao na walikhitari mali chache ya kidunia kuliko waliyoamrishwa kuyafuata katika kitabu hicho basi ubaya ulioje kwa kukhitari kwao huko
Ultimo aggiornamento 2022-11-16
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
iblis said, "lord, because you have caused me to go astray, i shall make earthly things attractive to (people) and mislead all of them
akasema: mola wangu mlezi! ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
nay, but the hour (of doom) is their appointed tryst, and the hour will be more wretched and more bitter (than their earthly failure).
bali saa ya kiyama ndio miadi yao, na saa hiyo ni nzito zaidi na chungu zaidi.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
enamoured are the people of the lust of (earthly) pleasures, of women and of children and hoarded heaps of gold and silver, well-bred horses, and tilled land and cattle, all (vain) goods and chattels of the life of this world, while the best of abodes is with god.
watu wamepambiwa kupenda matamanio ya wanawake, na wana, na mirundi ya dhahabu na fedha, na farasi asili, na mifugo, na mashamba. hayo ni starehe ya maisha ya duniani; na kwa mwenyezi mungu ndio kwenye marejeo mema.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: