Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
an identity letter from the employer
barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
Ultimo aggiornamento 2023-11-19
Frequenza di utilizzo: 6
Qualità:
are you suggesting an employee / employer relationship for the married couple?
kwa hiyo unapendekeza uhusiano wa mwajiriwa/mwajiri kwa wanandoa?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
i have been working hard and helping my employer to provide the best service all day long.
nitafanyakazi kwa moyo wote na kusaidia mwajiri kutoa huduma bora siku zote
Ultimo aggiornamento 2023-02-16
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
administrative controls are changes in work policy or procedures that require action by the worker or employer.
udhibiti wa utawala ni mabadiliko katika sera za kazi au utaratibu zinazohitaji hatua na mfanyakazi au mwajira.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
my new knowledge was really useful when we developed an app during the microsoft employer project; we ended up developing a much better app.
ufahamu wangu mpya ulikuwa wa muhimu sana tulipotengeneza zana tumizi wakati wa mradi wa mwajiri wa microsoft; tukaishia kuunda zana bora zaidi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
“the brutal murder of a 12-year-old maid, believed to have been killed by her powerful employer, has stunned the country.
“mauaji ya kinyama yaliyofanywa dhidi ya mfanyakazi wa ndani mwenye umri wa miaka 12, anayesaidikiwa kuuwawa na mwajiri wake mwenye nafasi kubwa, yameuacha umma wa nchi hii mdomo wazi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
"when a maid runs away from her employer's house, the police station is unable to act because there's no law criminalizing runaway maids.
"mfanyakazi wa ndani anapotoroka kutoka kwenye nyumba ya mwajiri wake, kituo cha polisi hakiwezi kufanya lolote kwa sababu hakuna sheria dhidi ya wafanyakazi wa ndani wanaotoroka.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
migrant domestic workers are excluded from the labor law and subject to restrictive immigration rules based on employer-specific sponsorship—the kafala system—which put workers at risk of exploitation and abuse.
sheria ya kazi haiwahusu wahamiaji wanaofanya kazi za ndani na badala yake wanakabiliwa na taratibu kali za uhamiaji chini ya mfumo wa mwajiri-mfadhili mahususi- mfumo wa kafala- mfumo unaowaweka wafanyakazi katika hatari ya kukandamizwa na kudhalilishwa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
employers
bahiri
Ultimo aggiornamento 2021-02-13
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: