Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
ethnicity
hi
Ultimo aggiornamento 2020-06-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
the meaning of the word ethnicity
maana ya neno ukabila
Ultimo aggiornamento 2022-01-11
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
several speakers insisted that kenya must overcome its differences and learn to live together despite differences in culture, ethnicity and religion.
wasemaji kadhaa walisisitiza kwamba kenya lazima ishinde tofauti zilizopo na ijifunze kuishi pamoja bila kujali tofauti za utamaduni, makabila na dini.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
below are two entire blog posts showing different perspectives of one people towards the other, raising issues of immigration, racism, ethnicity and mutual respect.
hapa chini kuna habari zilizopachikwa katika kurasa za blogu mbili zikionyesha mitazamo tofauti baina ya watu wawili kwa kuibua masuala muhimu kama uhamiaji, ubaguzi wa rangi, ukabila na heshima miongoni mwa watu.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
and although latipov says that the altercation was unprovoked from his side, the fact of his ethnicity was enough for russian nationalists to assume that the two russian men were acting in self-defense.
na ingawa latipov anasema kwamba mabishano hayo hayakuanzia kwake, lakini ukweli kuwa rangi yao ilikuwa sababu tosha kwa wahafidhina wa kirusi kudhania kuwa wa-rusi hao wawili walifanya hayo katika jitihada za kujilinda.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
the irrationality of economic choices of african business executives facing the social pressure of ethnicity,or their extended family has been extensively studied. success stories in africa- sucessful and entrepreneurial leaders in africa
hatua za uchaguzi wa kiuchumi zisizoleta mantiki miongoni mwa wakurugenzi wa mashirika ya biashara ya afrika yanayokabiliwa na mashinikizo ya ubaguzi wa rangi, au familia zao zilikuwa sehemu muhimu ya utafiti huo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
the suspect currently in custody for the murder is of albanian ethnicity, and while riots created tension between ethnic albanian and macedonian populations of skopje, macedonian citizens of all ethnicities appealed through social networks to their fellow countrymen to keep calm and deescalate this situation.
mtuhumiwa kwa sasa aliyeko mahabusu kwa tuhuma za mauaji ni wa asili ya albania, na wakati ghasia zikisababisha hali ya kutokuelewana kati ya watu wenye asili ya albania na wenzao wa kimasedonia waishio skopje, raia wa masedonia wenye asili tofauti walitoa mwito kupitia mitandao ya kijamii kuwaomba wananchi wenzao kuwa watulivu na kumaliza hali hiyo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
"we want to do away with the walls that divide and separate us, whether it's the walls of social class or the wall of ethnicity or the walls of religion," she says.
"tunataka kuachana na mipaka inayotutenga na kutugawanya, iwe ni mipaka ya matabaka ya kijamii au mipaka ya kidini," alisema.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta