Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
workplace hazard controls for covid-19
vidhibiti vya hatari kazini ya covid-19
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the hierarchy of hazard controls is a framework widely used in occupational safety and health to group hazard controls by effectiveness.
mfumo wa viwango ya udhibiti wa hatari ni mfumo unaotumiwa sana katika usalama wa kikazi na afya kuweka katika vikundi udhibiti wa hatari kulingana na ufanisi.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
authorities worldwide have responded by implementing travel restrictions, quarantines, curfews, workplace hazard controls, and facility closures.
mashirika ulimwenguni wamechukuwa hatua kwa kuweka vikwazo dhidi ya kusafiri, kuweka karantini, vipindi vya kutotembea, vizuizi vya hatari kazini, na kufungwa kwa majengo.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the government instead of responding to their just demands and concerns for the immense security risk and the environmental hazard that this plant can cause on the surrounding area, has responded with the most cruel repression on the protesting masses.
badala ya serikali kusikiliza matakwa yao na kuzingatia suala la kutokuwa na hali nzuri ya ulinzi pamoja na madhara ya uharibifu wa mazingira unaotokana na mitambo hii ya nyuklia. serikali imewajibu waandamanaji kwa kutumia njia ya ukandamizaji wa kikatili kabisa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
all types of ppe must be selected based upon the hazard to the worker, properly fitted as applicable (e.g., respirators), consistently and properly worn, regularly inspected, maintained, and replaced, as necessary, and properly removed, cleaned, and stored or disposed of to avoid contamination.
aina zote za ppe lazima zichaguliwe kulingana na hatari kwa mfanyakazi, na kuvaliwa vyema inavyotakikana (k.m., mashine za kusaidia kupumua), kila wakati na kuvaliwa vizuri, kukaguliwa mara kwa mara, kudumishwa, na kubadilishwa, inavyotakikana, na kuondolewa vizuri, kusafishwa, na kuwekwa au kutupwa kuzuia maambukizi.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: