Hai cercato la traduzione di i am not what i have done i'm wha... da Inglese a Swahili

Inglese

Traduttore

i am not what i have done i'm what i've overcome

Traduttore

Swahili

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

i just feel that what i have done so far is not enough and even much less than my king.

Swahili

nilijisikia kuwa, kile nilichokwisha kukifanya hadi sasa hakitoshi na ni kidogo sana ukilinganisha na kile alichokifanya mfalme wangu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

say: 'i am not an innovation among the messengers, and i know not what shall be done with me or with you.

Swahili

sema: mimi si kiroja miongoni mwa mitume. wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

he said, "do not take me to task for what i have forgotten, and do not be hard on me on account of what i have done!"

Swahili

(musa) akasema: usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

i have turned my face to him who has created the heavens and the earth, uprightly, and i am not among the idolaters'

Swahili

hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

but references are unnecessary for me because i have been living in this nightmare for a year, and i am proud of what we have done on june 30 and of the support of our military.

Swahili

lakini marejeo hayana umuhimu kwangu kwa sababu nimekuwa nikiishi kwenye zimwi hili kwa mwaka sasa, na ninajivunia kile tulichokifanya juni 30 na kwa kuungwa mkono na jeshi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

i have no desire to do, out of opposition to you, what i am asking you not to do.

Swahili

wala mimi sipendi kukukhalifuni nikafanya yale ninayo kukatazeni.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

....the african culture tells us that we don't speak ill of the dead-and i am not about to do so anytime soon, but what i will do is to categorically state how much of a bad decision it was to become a white man.

Swahili

….utamaduni wa kiafrika unatuambia kwamba hatupaswi kuwasema vibaya marehemu– na sitarajii kufanya hivyo wakati wowote hivi karibuni, lakini nitakachokifanya ni kusema katika maana halisi jinsi uamuzi ulivyokuwa mbaya wa kujigeuza kuwa mweupe.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

what i am not free to do is surf the internet as i please, because i am a child in the eyes of the authorities - a child who should be told what i am allowed and not allowed to read.

Swahili

kitu ambacho niko huru kufanya ni kuperuzi mtandao wa intaneti kama ninavyotaka, kwa kuwa mimi ni mtoto kwenye macho ya mamlaka - mtoto ambaye lazima aambiwe anachoruhusiwa na asichoruhusiwa kusoma.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

so after he had washed their feet, and had taken his garments, and was set down again, he said unto them, know ye what i have done to you?

Swahili

alipokwisha waosha miguu na kuvaa tena vazi lake, aliketi mezani, akawaambia, "je, mmeelewa hayo niliyowatendeeni?

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

if they cry lies to thee, then do thou say: 'i have my work, and you have your work; you are quit of what i do, and i am quit of what you do.'

Swahili

na wakikukanusha wewe, sema: mimi nina a'mali yangu, na nyinyi mna a'mali yenu. nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

i have up-rightly submitted myself to the one who has created the heavens and the earth and i am not an idol worshipper."

Swahili

hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

lo! i have turned my face toward him who created the heavens and the earth, as one by nature upright, and i am not of the idolaters.

Swahili

hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

i have directed my attention towards him who created the heavens and the earth—a monotheist—and i am not of the idolaters.”

Swahili

hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

i have set my face with single-minded devotion, towards him who has created the heavens and the earth, and i am not one of the polytheists."

Swahili

hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

yah: the request for a driving job relevant to the letter title above. i am a 20-year-old tanzanian youth, i graduated from veta tabora college in 2020. the purpose of writing this letter is to apply for a driver's license as announced by your office on 04 12 2024, i have a grade e and c driver's license and also have experience of this job as i have done for 2 years with different institutions, my experience of driving work makes me better kat

Swahili

yah: ombi la kazi ya udereva husika na kichwa cha barua hapo juu. mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 20, nimehitimu elimu ya udereva katika chuo cha veta tabora mwaka 2020. dhumuni la kuandika barua hii ni kuomba kazi ya udereva kama ilivyotangazwa na ofisi yako siku ya tarehe 04 12 2024, nina leseni ya udereva ya daraja e na c na pia nina uzoefu wa kazi hii kwani nimefanya kwa muda wa miaka 2 na taasisi tofauti tofauti, uzoefu wangu wa kazi ya udereva unenifanya niwe bora kat

Ultimo aggiornamento 2024-12-09
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,800,710,250 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK