Hai cercato la traduzione di indulge da Inglese a Swahili

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

English

Swahili

Informazioni

English

indulge

Swahili

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

indulge yourselves—you will surely know.

Swahili

basi stareheni. mtakuja jua!

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and we used to indulge with those who indulge.

Swahili

na tulikuwa tukizama pamoja na walio zama katika maovu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

you indulge in idle talk, as they had indulged in vain discourse.

Swahili

na nyinyi mkazama katika maovu kama wao walivyo zama.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

do not indulge in rebellion. god is certainly aware of what you do.

Swahili

hakika yeye anayaona yote myatendayo.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

we used to indulge in [profane] gossip along with the gossipers,

Swahili

na tulikuwa tukizama pamoja na walio zama katika maovu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

they merely indulge in guess-work which can never replace the truth.

Swahili

na dhana haisaidii chochote mbele ya haki.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

he knows well the idle talk in which you indulge. he suffices as a witness between me and you.

Swahili

yeye anajua zaidi hayo mnayo ropokwa; anatosha kuwa shahidi baina yangu na nyinyi.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

he will ask you to indulge in evil, indecency, and to speak lies of god you cannot even conceive.

Swahili

yeye anakuamrisheni maovu na machafu, na mumsingizie mwenyezi mungu mambo msiyo yajua.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

if one resolves to perform the pilgrimage in these months, let him not indulge in concupiscence, sin or quarrel.

Swahili

na anaye kusudia kufanya hija katika miezi hiyo, basi asiseme maneno machafu wala asifanye vitendo vichafu wala asibishane katika hija.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

let those who do not believe in the day of judgment listen to the deceitful words with pleasure and indulge in whatever sins they want.

Swahili

na ili nyoyo za wasio amini akhera zielekee hayo, nao wayaridhie na wayachume wanayo yachuma.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

so leave them alone to indulge in their vanities and to frolic about until they encounter that day of theirs against which they have been warned.

Swahili

basi waache wapige porojo wakicheza mpaka wakutwe na hiyo siku yao waliyo ahidiwa.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

everyone has their own battle that they are tackling - and well i suppose blogging really is a form of therapy and an excuse to self indulge.

Swahili

kila mtu ana mapambano yake – na nadhani kublogu ni aina ya matibabu na kisingizio cha ubinafsi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

they are different from the bad muslims in that, while they may commit every sin and indulge every prohibition, they present themselves as symbols of islamic virtue.

Swahili

hawa ni tofauti na waislamu wazembe kwa kuwa, wanaweza kufanya kila aina ya dhambi na kuvunja kila kilicho haramu kwenye dini, lakini bado wanajifanya kuwa ndio alama ya uislam.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

they had their enjoyment of their portion: and ye have of yours, as did those before you; and ye indulge in idle talk as they did.

Swahili

basi walistarehea fungu lao, na nyinyi mnastarehea fungu lenu, kama walivyo starehe kwa fungu lao wale walio kuwa kabla yenu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and (remember) lot when he said to his people: "you indulge in lecherous acts which none of the creatures had done before you.

Swahili

na pale lut'i alipo waambia watu wake: hakika nyinyi mnafanya uchafu, ambao hapana mmoja katika walimwengu aliye kutangulieni kwa hayo.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

(o prophet), tell the believers to indulge those who have no fear of any evil days coming upon them from allah so that allah may himself requite them for their deeds.

Swahili

waambie walio amini wawasamehe wale wasio zitaraji siku za mwenyezi mungu, ili awalipe kwa waliyo kuwa wakiyachuma.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

(remember) lot, when he said to his people: "why do you indulge in obscenities when you know (it is evil)?

Swahili

na lut'i alipo waambia watu wake: je! mnafanya uchafu nanyi mnaona?

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

verily, allah does not like anyone who is a betrayer of his trust, and indulges in crime.

Swahili

hakika mwenyezi mungu hampendi aliye khaaini, mwenye dhambi.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,793,800,367 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK