Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
venezuela: interacting with the works of artist jesus soto · global voices
venezuela: kukutana na kazi za msanii jesus soto
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
customer expectations are any set of behaviors or actions that individuals anticipate when interacting with a company.
matarajio ya wateja ni seti yoyote ya tabia au vitendo ambavyo watu wanatarajia wakati wa kuingiliana na kampuni.
Ultimo aggiornamento 2022-06-16
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
victor’s heart was home even when he worked with straight talk foundation in kampala, interacting with the people in the field made him realize that the people of northern uganda wanted more than hand outs but wanted and deserved more.
victor alionesha uzalendo wa kweli kwa nchi yake hata pale alipokuwa akifanya kazi na taasisi ya straight talk foundation ya kampala, alipokuwa akikutana na watu katika shughuli zake aligundua kuwa watu wa kaskazini mwa uganda kuna mengine zaidi walistahili na walihitaji mbali na vipeperushi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
the world health organization and centers for disease control and prevention of the united states advises pregnant women to do the same things as the general public to avoid infection, such as covering cough, avoid interacting with sick people, cleaning hands with soap and water or sanitizer.
shirika la afya duniani na vituo vya kudhibiti na kuzuia ugonjwa huko marekani hushauri wanawake wajawazito kufanya mambo sawa kama umma kwa ujumla ili kuzuia maambukizo, kama vile kujifuka ukikohoa, kuepuka kutangamana na watu wagonjwa, kusafisha mikono kwa kutumia sabuni na maji au kisafisha mikono chenye kileo cha kuua viini.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
even if a mandatory quarantine is not imposed, you may be asked to "self-quarantine" by staying at home and not interacting with other people.
hata kama karantini ya lazima haijawekwa, huenda ukaombwa "ujikarantini mwenyewe" kwa kukaa nyumbani na kutotangamana na watu wengine.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta