Hai cercato la traduzione di marvelled da Inglese a Swahili

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

English

Swahili

Informazioni

English

marvelled

Swahili

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

but jesus yet answered nothing; so that pilate marvelled.

Swahili

lakini yesu hakujibu neno, hata pilato akashangaa.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and joseph and his mother marvelled at those things which were spoken of him.

Swahili

baba na mama yake yesu walikuwa wakistaajabia maneno aliyosema simeoni juu ya mtoto.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and the people waited for zacharias, and marvelled that he tarried so long in the temple.

Swahili

wakati huo, wale watu walikuwa wanamngoja zakariya huku wakishangaa juu ya kukawia kwake hekaluni.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

when they had heard these words, they marvelled, and left him, and went their way.

Swahili

waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and the jews marvelled, saying, how knoweth this man letters, having never learned?

Swahili

basi, wayahudi wakashangaa na kusema "mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?"

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

and when the disciples saw it, they marvelled, saying, how soon is the fig tree withered away!

Swahili

wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, "kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?"

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

but when the multitudes saw it, they marvelled, and glorified god, which had given such power unto men.

Swahili

watu wote katika ule umati walipoona hayo, walishangaa na kuogopa; wakamtukuza mungu aliyewapa binadamu uwezo wa namna hiyo.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and he asked for a writing table, and wrote, saying, his name is john. and they marvelled all.

Swahili

naye akaomba kibao cha kuandikia, akaandika hivi: "yohane ndilo jina lake." wote wakastaajabu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

and they could not take hold of his words before the people: and they marvelled at his answer, and held their peace.

Swahili

hawakufaulu kumnasa kwa neno lolote pale mbele ya watu na hivyo wakakaa kimya wakilistaajabia jibu lake.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and pilate marvelled if he were already dead: and calling unto him the centurion, he asked him whether he had been any while dead.

Swahili

pilato alishangaa kusikia kwamba yesu alikuwa amekwisha kufa. basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama yesu alikuwa amekufa kitambo.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and when the devil was cast out, the dumb spake: and the multitudes marvelled, saying, it was never so seen in israel.

Swahili

mara tu huyo pepo alipotolewa, mtu huyo aliyekuwa bubu akaanza kuongea tena. watu wakashangaa na kusema, "jambo kama hili halijapata kuonekana katika israeli!"

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

now when they saw the boldness of peter and john, and perceived that they were unlearned and ignorant men, they marvelled; and they took knowledge of them, that they had been with jesus.

Swahili

hao wazee wa baraza, wakiwa wanajua kwamba petro na yohane walikuwa watu wasio na kisomo wala elimu yoyote, walishangaa juu ya jinsi walivyosema kwa uhodari. wakatambua kwamba walikuwa wamejiunga na yesu.

Ultimo aggiornamento 2024-04-30
Frequenza di utilizzo: 11
Qualità:

Inglese

and jesus answering said unto them, render to caesar the things that are caesar's, and to god the things that are god's. and they marvelled at him.

Swahili

basi, yesu akawaambia, "mpeni kaisari yaliyo yake kaisari na mungu yaliyo yake mungu." wakashangazwa sana naye.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

so when they saw him, they marvelled at him and cut their hands [absent-mindedly], and they said, ‘good heavens!

Swahili

basi walipo mwona waliona ni kitu kikubwa kabisa, na wakajikata mikono yao. wakasema: hasha lillahi!

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

when jesus heard these things, he marvelled at him, and turned him about, and said unto the people that followed him, i say unto you, i have not found so great faith, no, not in israel.

Swahili

yesu aliposikia hayo, alishangaa; halafu akauelekea ule umati wa watu uliokuwa unamfuata, akasema, "sijaona imani kubwa namna hii hata katika israeli."

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,747,901,765 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK