Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
could he be mentally deranged?
inawezekana alikuwa na matatizo ya akili?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
later on the child becomes stunted physically and mentally.
na baadae mtoto anaharibikiwa akili na mwili kushindwa kufanya kazi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nodding disease is a mentally and physically disabling disease that affects children between 1 and 10 years.
ugojwa unaofanana na kifafa unaosababisha akili na mwili kwa ujumla kushindwa kufanya kazi vizuri, unaathiri watoto walio na umri kati ya mwaka 1 hadi miaka 10.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
i have often mentally checked my teeth for visible spinach; perhaps the joke is on me?
nimeangalia mara nyingi kwa tafakuri kwenye meno yangu kama kuna mabaki ya mboga za majani; labda nafanyiwa utani mimi mwenyewe?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
and when he attained his full strength and was [mentally] mature, we bestowed upon him judgement and knowledge.
na musa alipo fika utu-uzima baraabara, tulimpa akili na ilimu.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
questions are still being raised as to whether major hasan was an extremist who carried out the attack based on religious ideology or he was simply mentally ill.
maswali bado yanaendelea kuibuliwa endapo meja hassan alikuwa mwenye siasa kali na ambaye alifanya mashambulizi hayo kwa msukumo wa itikadi ya kidini au labda tu alikuwa na tatizo la kiakili.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
i feel mentally calm and i can think a lot - i find solutions for any problems or obstacles i face and what is even sweeter is that i find more than one solution.
najisikia kuwa na utulivu wa kiakili na kwa hiyo naweza kufikiri sana - najikuta naweza kupata suluhu kwa karibu kila tatizo au kikwazo kinachonikabili, na kitamu zaidi ni kwamba napata suluhisho zaidi ya moja kwa tatizo fulani.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the mob apparently wanted to do the justice themselves. last month a mob burnt a mentally unstable man in bahwalpur; the man was also accused of blasphemy.
kundi hili lilitaka the sheria mkononi. mwezi uliopita kundi hili lilimchoma moto mtu aliyekuwa na matatizo ya akili katika mtaa wa bahwalpur ; ambapo mtu huyu alituhumiwa pia kwa kukashifu imani.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
although he is physically an adult, he has not matured mentally or sociologically to becoming an adult, and continues to crave attention like a 10-year old girl.
ingawa kwa umbo anaonekana ni mtu mzima, bado hajakomaa kiakili au kijamii ili kuwa mtu mzima, na anaondelea kuusaka umaarufu kama msichana wa miaka 10.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
despite of their bravery to live alone, they just stick with an unhappy marriage because afraid of what other people think, or simply because they are not independent, financially or mentally.
pamoja na ujasiri wao wa kuishi pekee, wanang'ang'ania ndoa zisizo na furaha kwa sababu wanahofia watu wengine watafikiriaje, au kwa sababu tu hawako huru, kifedha au kiakili.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
akmal shaikh, a british citizen convicted of smuggling heroine into china, was executed on tuesday although his families along with the british government had pleaded for reprieve, claiming that he is mentally ill.
akmal shaikh, raia wa uingereza aliyeshtakiwa kwa kuingiza mihadarati kinyume cha sheria nchini china, aliuwawa siku ya jumanne japokuwa familia yake pamoja na serikali ya uingereza waliomba adhabu ipunguzwe, wakidai kuwa alikuwa ni mgonjwa wa akili.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
hustling mentally is apon every north zone (arusha, kilimanjaro) people's especially young men that's why we become rich at a young age
hustling akili ni juu ya kila eneo la kaskazini (arusha, kilimanjaro) watu hasa vijana ni kwa nini sisi kuwa richers katika umri mdogo
Ultimo aggiornamento 2019-02-13
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
do you know that fighting someone whose happiness is to see you grieve and hurt is where that great comfort, internet life undermines one's brain health becomes goigoi on deciding a thing. for him every thought to him is positive, and for you it is negative, if you recognize such a person, use as much intelligence and art to confront him as he can, and move you both mentally and mentally. piah i beg the formula to solve the age mystique that afflicted me so much in elementary school in the 2000 ′ s....... ask yourself,
je wajua kupambana na mtu ambaye furaha yake ni kukuona wewe unahuzunika na kuumia ndipo kwake faraja kubwa hiyo,maisha ya mtandao ya dhoofisha afya ya ubongo wa mtu anakuwa goigoi kwenye kung'amua jambo. kwake yeye kila wazo kwake ni chanya angali kwako wewe ni hasi ukimtambua mtu kama huyo tumia akili nyingi sanaa kumkabili lasivyo atakutesa na kukupelekesha kimawazo na kimtazamo. piah naomba fomula ya kutatua fumbo la umri lilinitesa sana shule ya msingi kipindi hiko 2000......., jiulize upate kujifunza
Ultimo aggiornamento 2022-10-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: