Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
well respected journalist mohammad hanif writes:
ameonesha ujasiri.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
i managed to get through to my uncle mohammad again in gaza city.
nimeweza kumfikia mjomba wangu mahmood kwa mara nyingine tena mjini gaza.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
blogger mohammad munim criticized the commission on muktangon, a community blog:
mwanablogu mohammad munim aliipinga vikali tume hii kwenye blogu ijulikanayo kama muktangon, ambayo ni blogu ya jamii:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
green vote also tweeted that mohammad ali tarekh, a student activist, was arrested in shiraz.
green vote pia alituma ujumbe mwingine wa twita unaosema kwamba mohammad ali tarekh, mwanafunzi mwanaharakati, alitiwa mbaroni kwenye jimbo la shiraz.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
iran's new foreign minister mohammad javad zarif has a facebook page where he answers questions.
waziri mpya wa uhusiano wa kimataifa wa iran mohammad javad zarif ana ukurasa wa facebook ambapo huutumia kujibu maswali.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mohammad ali abtahi, former iranian vice president, considers obama's message very important and says:
mohammad ali abtahi, makamu wa rais wa zamani, anadhani ujumbe wa obama ni wa muhimu sana na anaandika:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
several iranian officials such as mohammad javad zarif, minister of foreign affairs, use facebook and twitter while these sites are blocked in iran.
maofisa kadhaa wa iran kama mohammad javad zarif, waziri wa mambo ya kigeni, hutumia mitandao ya twita na facebook hata wakati tovuti hizo zimefungiwa nchini iran.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mir mohammad ali talpur (@mmtalpur), a veteran human rights activists who was a part of the cancelled lums talk will join us.
mir mohammad ali talpur (@mmtalpur), mwanaharakati mkongwe wa haki za binadamu alikuwa sehemu ya mjadala wa kitaaluma uliofutwa ataungana nasi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mohammad reza pourshajari, a jailed blogger known by his pen name siamak mehr, wrote an open letter from prison where he spoke of torture and extremely difficult conditions in prison.
mohammad reza pourshajari, mwanablogu aliyefungwa hela anayefahamika kwa jina lake la kalamu siamak mehr, aliandika barua ya wazi kutoka jela ambapo alizungumzia vitendo vya utesaji na hali ngumu anayokabiliana nayo gerezani.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
after the "i am not a martyr" campaign in honor of mohammad chaar and the "i am not naked" campaign first in support of olympic skier jackie chamoun and then against domestic violence, the anti-racism campaign is using the same (and now-familiar) method of online protest featuring average citizens posting selfies and carrying a message.
baada ya kampeni ya "mimi si mhafidhina" kwa heshima ya mohammad chaar na kampeni ya "mimi si uchi" kumwuunga mkono jackie chamoun mshindi wa olimpiki wa mchezo wa kuteleza kwenye barafu na kisha dhidi ya unyanyasaji wa majumbani, kampeni ya kupinga ubaguzi wa rangi inatumia namna inayofanana (kwa sasa ni ile ile) ya kuonyesha upinzani mtandaoni kwa kuwaonyesha wananchi wakiweka habari na picha zao zenye kubeba ujumbe.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.