Hai cercato la traduzione di performing da Inglese a Swahili

Inglese

Traduttore

performing

Traduttore

Swahili

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

dancers performing to traditional peruvian music.

Swahili

wacheza ngoma wakicheza muziki wa kijadi wa peru.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

compete with each other in performing good deeds.

Swahili

basi shindanieni mema.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

vile indeed is that which they have been performing!

Swahili

ni maovu mno hayo wayafanyayo!

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

people are performing dawn prayers while police are at my door demanding i hand in my sons or they will crash our car.

Swahili

wakati watu wakisali sala ya mapambazuko, polisi walishafika mlangoni kwangu wakinitaka niwatoe watoto wangu vinginevyo wangeharibu gari letu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

most probably, these attackers are performing their cowardly acts from those camps and then crawl back there afterwards.

Swahili

pengine hawa washambuliaji wanafanya mashambulizi haya ya kijinga kutokea kwenye kambi hizo kisha wanarudi baadaye.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

if you are late in performing your service of prayer honour god by remembering him, standing or sitting or lying on your sides.

Swahili

mkisha sali basi mkumbukeni mwenyezi mungu mkisimama, na mkikaa, na mnapo jinyoosha kwa kulala.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

by men who neither trading nor commerce distracts them from god’s remembrance, and from performing the prayers, and from giving alms.

Swahili

watu ambao biashara wala kuuza hakuwashughulishi na kumdhukuru mwenyezi mungu, na kushika sala, na kutoa zaka.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

each program is researched and written by the four young hosts, who control all the programming, including research, writing and performing each episode.

Swahili

kila kipindi kinatafitiwa na kuandikwa na watangazaji wanne, wanaodhibiti utaratibu mzima, ikijumuisha utafiti, kuandika na kuigiza kila kipande.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

"it is seen that all internal and external peace actors are visibly performing against the ethics of peace process and bouncing beyond the edge of comprehensive peace accord.

Swahili

“inaonekana kuwa watendaji wa ndani na wa nje wanaonekana wazi jinsi wanavyopinga maadili ya mchakato wa amani na jinsi wanavyodunda mbali na ukingo wa mkataba wa amani.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

indeed, they were active in [performing] good works, and they would supplicate us with eagerness and awe and were humble before us.

Swahili

hakika wao walikuwa wepesi wa kutenda mema, na wakituomba kwa shauku na khofu. nao walikuwa wakitunyenyekea.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

they have faith in allah and the last day, and bid what is right and forbid what is wrong, and they are active in [performing] good deeds.

Swahili

wanamuamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho, na wanaamrisha mema na wanakataza maovu na wanakimbilia katika mambo ya kheri.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and verily, the home of the hereafter is the best for those who fear allah and obey him (by abstaining from sins and evil deeds, and by performing righteous good deeds).

Swahili

na hakika nyumba ya akhera ni bora kwa wamchao mungu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

however, despite the amount of money poured into the elections, presidential power is actually very limited within the croatian government, with the president mainly acting as a representative within the country and abroad and performing ceremonial duties such as awarding important individuals.

Swahili

hata hivyo, pamoja na kiasi kikubwa cha fedha kutumiwa kwenye kampeni, madaraka ya urais kwa hakika ni machache katika serikali ya crotia, ambapo rais kimsingi anakuwa kama muwakilishi ndani na nje ya nchi pamoja na kushughulikia mambo ya sherehe kama vile kuwatunuku watu mashuhuri.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and verily, the reward of the hereafter is better for those who believe and used to fear allah and keep their duty to him (by abstaining from all kinds of sins and evil deeds and by performing all kinds of righteous good deeds).

Swahili

na hakika malipo ya akhera ni bora zaidi, kwa walio amini na wakawa wachamngu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

ahhh..the swine-flu with all the accompanying conspiracy theories..a jordanian “scientist” specializing in diseases claims that mecca and medina are somehow isolated from disease, thus there is no need for the talk about the possible outbreaks that might result from the millions of pilgrims being in extreme proximity while performing hajj.. kill them pigs..go to hajj..you will be disease free..

Swahili

ahhh..mafua ya nguruwe pamoja na nadharia zote za njama zinazoambatana nayo… “mwanasayansi” wa kijordani bingwa wa magonjwa anadai kuwa maka na madina ziko mbali na ugonjwa huo, kwa hiyo hakuna haja ya kuzungumzia uwezekano wa mlipuko ambao unaweza kutokea kutokana na mamilioni ya mahujaji kuwa karibu karibu wakati wa hija… uweni nguruwe…nendeni kwenye hija…na mtakuwa mbali na ugonjwa…

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,920,049,911 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK