Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
to date, there is no evidence that using recommended antiseptics or disinfectants selects for antibiotic-resistant organisms in nature.
kufikia leo, hakuna ushahidi kwamba kutumia antiseptiki inayopendekezwa au viuaji vimelea huteua viumbe visivyouawa kwa dawa katika asili.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
however, antibacterial soaps contain common antibacterial agents such as triclosan, which has an extensive list of resistant strains of organisms.
hata hivyo, sabuni zinazouwa bakteria zina bidhaa za kawaida zinazopambana na bakteria kama vile triclosan, ambayo ina orodha ndefu ya aina za viini visivyokufa.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
so, even if antibiotic resistant strains aren't selected for by antibacterial soaps, they might not be as effective as they are marketed to be.
kwa hivyo, hata kama aina zisizo kufa hazijatolewa kwa sabuni dhidi ya bakteria, huenda zisifanye kazi kwa ufanisi kama zinavyotangazwa.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
alcohol rub sanitizers kill bacteria, multi-drug resistant bacteria (mrsa and vre), tuberculosis, and some viruses (including hiv, herpes, rsv, rhinovirus, vaccinia, influenza, and hepatitis) and fungi.
vieuzi vilivyo na alkoholi huuwa bakteria, bakteria zisizouawa kwa dawa (mrsa na vre), kifua kikuu, na baadhi ya virusi (pamoja na hiv, hepesi, rsv, rhinovirus, vaccinia, homa ya mafua na hepatitisi) na kuvu.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: