Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
the march and the concert against poverty went well, without the incidents 'predicted' by pro-government media.
maandamano hayo pamoja na tamasha la kupinga umasikini vyote vilikwenda vizuri, bila kutokea matikio yaliyokuwa yametabiriwa na vyombo vya habari vinavyoishabikia serikali.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the concert, organized by a group of tibetan youth, had received permission from local authorities, and according to a report from voice of america, the concert was to address the importance of tibetan language and culture.
tamasha hilo, lililoandaliwa na kikundi cha vijana wa kitibeti, liliruhusiwa rasmi na serikali za mitaa za sehemu hiyo, na kwa mujibu wa taarifa ya shirika la utangazaji la marekani, tamasha hilo lilikuwa lina maudhui ya kuonyesha umuhimu wa lugha na utamaduni wa kitebeti.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.