Chiedi a Google

Hai cercato la traduzione di unpredictable da Inglese a Swahili

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

The only "weapons" we have, at most, are the umbrellas we always carry in our bags for the unpredictable weather.

Swahili

“Silaha” pekee tulizonazo, mara nyingi, ni miamvuli tunayoibeba kwenye mabegi yetu kwa ajili ya kukabiliana na hali ya hewa isiyotabirika.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

People are dying of starvation and hunger like the recent case in Teso Region, Eastern Uganda; there are changes in water ecosystems like the dwindling levels of Lake Victoria; unpredictable seasons, loss of soil fertility and loss of agricultural output and hence increased household poverty and its implications.

Swahili

Watu wanakufa kwa kukosa chakula na njaa kama ilivyokuwa hivi karibuni katika mkoa wa Teso, Mashariki ya Uganda; kuna mabadiliko katika mfumo wa wa maji kama kupungua kwa kina cha maji cha Ziwa Victoria ; majira yasiyotabirika, kupungua kwa rutuba ya udongo na kupotea kwa uzalishaji wa kilimo na hivyo kuongezeka kwa umasikini wa familia na madhara yake.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

Without his guiding light, it’s hard to imagine how the democracy movement will treat the many challenges ahead during this unpredictable democratic transition, where there are still many wolves in sheep’s clothing.

Swahili

Bila ya mwanga wake kuongoza, ni vigumu kufikiria jinsi harakati ya kidemokrasia itakavyokumbwa na changamoto nyingi zijazo wakati huu wa kidemokrasia mpito usiotabiriki, ambapo bado kuna mbwa mwitu wengi waliovaa mavazi ya kondoo.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
4,401,923,520 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK