Hai cercato la traduzione di violate da Inglese a Swahili

Inglese

Traduttore

violate

Traduttore

Swahili

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

but maintain the weights with justice, and do not violate the balance.

Swahili

na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

those who fulfill the promise to god, and do not violate the agreement.

Swahili

wale ambao wanatimiza ahadi ya mwenyezi mungu, wala hawavunji maagano.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

do not betray god and his messenger, and do not knowingly violate your trusts.

Swahili

enyi mlio amini! msimfanyie khiana mwenyezi mungu na mtume, wala msikhini amana zenu, nanyi mnajua.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

ensure that the use of applications and platforms does not violate students’ data privacy.

Swahili

hakikisha kuwa matumizi ya programu na jukwaa tofauti haikiuki ufaragha wa data ya wanafunzi.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

o you who believe, do not be faithless to god and his apostle, nor violate your trusts knowingly.

Swahili

enyi mlio amini! msimfanyie khiana mwenyezi mungu na mtume, wala msikhini amana zenu, nanyi mnajua.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

those of them with whom you made a treaty, but they violate their agreement every time. they are not righteous.

Swahili

wale ambao miongoni mwao umepatana nao ahadi, kisha wanavunja ahadi yao kila mara, wala hawamchi mungu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

she cried, "shall not the man who wished to violate your wife be thrown into prison or sternly punished?"

Swahili

mwanamke akasema: hapana malipo ya mwenye kutaka kumfanyia maovu mkeo isipo kuwa kufungwa au kupewa adhabu chungu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

and we said to them: 'do not violate the law of the sabbath', and took from them a firm covenant.

Swahili

na tukawaambia: msiivunje siku ya sabato (jumaa mosi). na tukachukua kwao ahadi iliyo madhubuti.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

fight against the leaders of the unbelievers if they violate their established peace treaty with you and revile your faith, to force them to stop their aggression against you.

Swahili

na wakivunja viapo vyao baada ya kuahidi kwao, na wakatukana dini yenu, basi piganeni na waongozi wa ukafiri. hakika hao hawana viapo vya kweli.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

have you not seen those who have been forbidden to have secret counsels violate this prohibition and resume their secret counsels for sinful and hostile purposes and to disobey the messenger?

Swahili

kwani huwaoni wale walio katazwa kunong'onezana kisha wakayarudia yale yale waliyo katazwa, na wakanong'ona juu ya mambo ya dhambi, na ya uadui, na ya kumuasi mtume?

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and if they violate their oaths after their covenant and revile your religion, fight those leaders of infidelity-verily no oaths will hold in their case that haply they may desist.

Swahili

na wakivunja viapo vyao baada ya kuahidi kwao, na wakatukana dini yenu, basi piganeni na waongozi wa ukafiri. hakika hao hawana viapo vya kweli.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and allah's are the best names, therefore call on him thereby, and leave alone those who violate the sanctity of his names; they shall be recompensed for what they did.

Swahili

na mwenyezi mungu ana majina mazuri kabisa, basi muombeni kwa hayo. na waacheni wale wanao haribu utakatifu wa majina yake.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

although the constitution affirms the independence of state and religion, in practice the concession of diplomatic passports to religious leaders appears to violate this principal, after all, how can a religious leader carry a diplomatic passport without infringing the basic principal of secularism?

Swahili

ingawa katiba inatenganisha bayana masuala ya utawala wa serikali na yale ya dini, katika hali halisi utoaji wa pasipoti za kidiplomasia kwa viongozi wa kidini unaonekana wazi kuvunja kanuni hiyo, na tuwe wakweli, inawezekana vipi kiongozi wa kidini kubeba pasipoti ya kidiplomasia bila kuvunja kanuni ya msingi kabisa ya nchi kutokuwa na dini?

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

(barring the polytheists with whom you have made a treaty, and who did not violate any [of its terms] with you, nor backed anyone against you. so fulfill the treaty with them until [the end of] its term.

Swahili

isipo kuwa washirikina ambao mliahidiana nao kisha wasikupunguzieni chochote, wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi hao watimizieni ahadi yao mpaka muda wao.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,941,828,474 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK